Pre GE2025 CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
A
CHADEMA nao wamalize uchaguzi wao kwa kuteua moja kwa moja mgombea urais wao kama ccm wamemaliza kila kitu. ligi inaanza mapema januari hii. ACT wameishajipanga tayari wana mgombea wao. ni dhahiri kampeni kali zinaanza kabla ya muda rasmi. Hakuna kuzubaa, zubaa uachwe solemba. CCM wameishamaliza kazi na mbio wamezianza kuelekea uchaguzi mkuu
Act ni chama Tanzu cha ccm
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.
View attachment 3206628
Dkt. Nchimbi ambaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.
View attachment 3206644
Dkt. Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023. Rais Samia amempendekeza Dkt. Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
Apewe kura za Ndiyooo ,Jogoo limeshawika Dodoma.
 
View attachment 3206619
Hiyo ndio habari mpya toka mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao.

Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Dkt Philip Esdori Mpango ameomba kupumzika,

Mabadiliko haya yatakuwa na effect kuanzia mwezi July baada ya Bunge kuvunjwa hivyo Dkt Mpango na Dkt Emmanuel Nchimbi wataendelea katika nafasi zao hizo hizo.
Chanzo Cha habari,?
 
M
kwa nini siyo P.Mpango? haijawahi kutokea tanzagiza raisi akabadilisha mgombea mwenza ngwe ya pili, nafikiri kuna kitu kinaendelea na sii kidogo kwenye nchi yetu, mficha ugonjwa kifo kitamuumbua …
Mkapa aliwahi au kikwete aliwahi badilisha Gharib Bilala na Dr Shein
 
Muda ni mchache lakini mambo ni mengi mnoo.
Huu mwaka ni mfupi sana.
Naona mwaka huu ukafanana kisiasa na mwaka 2021.
Nimewaza tu.
Ndio itakvyokuwa nchi haiwezi kuchezewa na majambazi lazima ifike mahali ukomo uwepo.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.
View attachment 3206628
Dkt. Nchimbi ambaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.

Pia, Soma: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

View attachment 3206644
Dkt. Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023. Rais Samia amempendekeza Dkt. Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
Huyu ndo atakua mgombea Uraisi 2030 habarii za February na group wamesha vurugwa tayari Deep state ilisha pendekeza hilo jina kitambo wakati bado iko Brazil kama barozi JPm alimuona kama tishio kwake na kumtupa Brazil
 
Hahaha sasa hamtaki mambo ya ccm wakati nyie ni chadema?

Kila chama kina mambo yake, subirini breaking news za chadema nanyi mtafurahi tu.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.
View attachment 3206628
Dkt. Nchimbi ambaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.

Pia, Soma: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

View attachment 3206644
Dkt. Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023. Rais Samia amempendekeza Dkt. Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
Wamempima pressure yake ipo vizuri? Magonjwa ya moyo, sukari, obersity nk?
 
Kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM imempitisha Dr. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza wa urais katika uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu.

Kama CCM watashinda uchaguzi huu Dr. Nchimbi atakuwa makamu wa rais hadi 2030. Na baada ya hapo uwezekano ni mkubwa akapenda kugombea urais wa JMT.

Kwa hiyo kuanzia 2030 uwezekano ni mkubwa kuwa CHADEMA wakawa wanapambana na Nchimbi. Huu utakuwa wakati mzuri kwa CHADEMA kuweza kufurukuta, kuna uwezekano mkubwa. Kwa ujumla Nchimbi ni mwanademokrasia lakini pia ni mtu dhaifu. CHADEMA jipangeni vizuri.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.
View attachment 3206628
Dkt. Nchimbi ambaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.

Pia, Soma: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

View attachment 3206644
Dkt. Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023. Rais Samia amempendekeza Dkt. Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
Hongera sana Dkt Samia ktk jambo ambalo umenifurahishaaaa ni hili la comrade Nchimbi. Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom