ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Act ni chama Tanzu cha ccmCHADEMA nao wamalize uchaguzi wao kwa kuteua moja kwa moja mgombea urais wao kama ccm wamemaliza kila kitu. ligi inaanza mapema januari hii. ACT wameishajipanga tayari wana mgombea wao. ni dhahiri kampeni kali zinaanza kabla ya muda rasmi. Hakuna kuzubaa, zubaa uachwe solemba. CCM wameishamaliza kazi na mbio wamezianza kuelekea uchaguzi mkuu
Anahofia uhai wake.Mpango imekuaje tena?
Mi naona kama unauliza jibuBado sijaelewa kwanini imekua mapema sana. Au makundi yalishaanza chinichini wameamua wayawahi?
Mpango alikuwa Mundu au?Hongera Sana Mama Samia umeupiga mwingi mno. Nchimbi ni jembe Kweli Kweli
Apewe kura za Ndiyooo ,Jogoo limeshawika Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.
View attachment 3206628
Dkt. Nchimbi ambaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.
View attachment 3206644
Dkt. Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023. Rais Samia amempendekeza Dkt. Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
Chanzo Cha habari,?View attachment 3206619
Hiyo ndio habari mpya toka mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao.
Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Dkt Philip Esdori Mpango ameomba kupumzika,
Mabadiliko haya yatakuwa na effect kuanzia mwezi July baada ya Bunge kuvunjwa hivyo Dkt Mpango na Dkt Emmanuel Nchimbi wataendelea katika nafasi zao hizo hizo.
Mkapa aliwahi au kikwete aliwahi badilisha Gharib Bilala na Dr Sheinkwa nini siyo P.Mpango? haijawahi kutokea tanzagiza raisi akabadilisha mgombea mwenza ngwe ya pili, nafikiri kuna kitu kinaendelea na sii kidogo kwenye nchi yetu, mficha ugonjwa kifo kitamuumbua …
Ndio itakvyokuwa nchi haiwezi kuchezewa na majambazi lazima ifike mahali ukomo uwepo.Muda ni mchache lakini mambo ni mengi mnoo.
Huu mwaka ni mfupi sana.
Naona mwaka huu ukafanana kisiasa na mwaka 2021.
Nimewaza tu.
Huyu ndo atakua mgombea Uraisi 2030 habarii za February na group wamesha vurugwa tayari Deep state ilisha pendekeza hilo jina kitambo wakati bado iko Brazil kama barozi JPm alimuona kama tishio kwake na kumtupa BrazilMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.
View attachment 3206628
Dkt. Nchimbi ambaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.
Pia, Soma: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
View attachment 3206644
Dkt. Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023. Rais Samia amempendekeza Dkt. Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
Wamempima pressure yake ipo vizuri? Magonjwa ya moyo, sukari, obersity nk?Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.
View attachment 3206628
Dkt. Nchimbi ambaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.
Pia, Soma: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
View attachment 3206644
Dkt. Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023. Rais Samia amempendekeza Dkt. Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
Hongera sana Dkt Samia ktk jambo ambalo umenifurahishaaaa ni hili la comrade Nchimbi. Mungu akubariki.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.