Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Wakati juzi kati alikuwa anaimbisha wapiga Kura wake Majaliwaaaa mi5 tenaaaaaaMajaliwa anarudi Ruangwa, hawezi kuwa mbunge wala waziri tena. Amefikia ukomo na amegota
Wewe ota tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati juzi kati alikuwa anaimbisha wapiga Kura wake Majaliwaaaa mi5 tenaaaaaaMajaliwa anarudi Ruangwa, hawezi kuwa mbunge wala waziri tena. Amefikia ukomo na amegota
Duh, ila watu nyie ni nyoko sana! Hizi mnazitoa wapi? Mpango tangu DP World wachukue bandari amesafiri mara ngapi? Acheni hizi nyie!Mpango alikataa dp world wasiuziwe nchi ugomvi ulianzia pale
Mpango aligoma kabisa waarabu kuuziwa nchi akaambiwa jiuzulu akagoma
Akaanza kunyimwa na safari za kumwakilisha Rais akawa anapewa majaliwa
Huyu mama alitendewa vyema na magufuli ila anawatendea vibaya wenzake
God is watching
ACT wamemutangaza Nan?fasta ACT na CCM wametangaza wagombea wao wa urais ndani wiki mapema januari. Kule CHADEMA nao watoke na azimio moja la nani agombee urais kampeni zianze tu maana kuna vyama vitaachwa mbali sana bado vimelala usingizi wa kisiasa
Hawa Wanaweza Kufanya Uchaguzi Hata April 2025Mambo yanakwenda speed sana.naona kama hata tarehe ya uchaguzi inaweza ikasogezwa nyuma
Hali ya nchi sio shwari!!Mambo yanakwenda speed sana.naona kama hata tarehe ya uchaguzi inaweza ikasogezwa nyuma
Wajumbe walidhani wameenda kufanya maamuzi.Ccm ni chama cha kiimla....
Mwenyekiti ndio mwenye maamuzi wengine ni kufuata tu...
Drifter Pascal Mayalla
Ndiyo ccm iko hivyo, sasa wasiopenda wanafuatiliwa nyendo zao.Yani inashangaza, wajumbe wengi hawajapenda
Nidham ya uoga sababu ya dola na fikra z mwenyekitiNdio utaratibu wa CCM ndio maana hakuna waropokaji Wala watu wenye mapembe,chama kina nidhamu
Ndiyo ccm iko hivyo, sasa wasiopenda wanafuatiliwa nyendo zao.
Kwa utamaduni wa CCM kufanyiwa sub sio hiari ya mtu, unaweza kulazimishwa uombe sub mwenyewe.Kwa hiyo sub sio kitu kigeni
Mimi hata bado sijajua nini kinaendelea maana Mpango sijamuona hapo!Mimi naona nchimbi ndio angetakiwa kuwa juu ya samia