Pre GE2025 CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Pre GE2025 CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Majaliwa anarudi Ruangwa, hawezi kuwa mbunge wala waziri tena. Amefikia ukomo na amegota
Wakati juzi kati alikuwa anaimbisha wapiga Kura wake Majaliwaaaa mi5 tenaaaaaa


Wewe ota tu
 
Mpango alikataa dp world wasiuziwe nchi ugomvi ulianzia pale

Mpango aligoma kabisa waarabu kuuziwa nchi akaambiwa jiuzulu akagoma

Akaanza kunyimwa na safari za kumwakilisha Rais akawa anapewa majaliwa

Huyu mama alitendewa vyema na magufuli ila anawatendea vibaya wenzake

God is watching
Duh, ila watu nyie ni nyoko sana! Hizi mnazitoa wapi? Mpango tangu DP World wachukue bandari amesafiri mara ngapi? Acheni hizi nyie!
 
fasta ACT na CCM wametangaza wagombea wao wa urais ndani wiki mapema januari. Kule CHADEMA nao watoke na azimio moja la nani agombee urais kampeni zianze tu maana kuna vyama vitaachwa mbali sana bado vimelala usingizi wa kisiasa
ACT wamemutangaza Nan?
 
Catoon made fashion show - Karibu ni muda wa Kutengeneza katuni za Kitanzania
Cars_2006 (1).jpg
 
Ccm ni chama cha kiimla....

Mwenyekiti ndio mwenye maamuzi wengine ni kufuata tu...
Drifter Pascal Mayalla
Wajumbe walidhani wameenda kufanya maamuzi.

Walisahau nguvu ya mwenyekiti.

Muangalie mwenyekiti na katibu mkuu wakati Kikwete alipokuwa anaongea, utaona kabisa walijua matakwa ya kikwete, lakini waliamua tofauti na Kikwete alivyotarajia.

Alujaribu kusema sheria sijui nini, wakampuuza.
 
Kachika kuvaa nguo za CCM.
Hongera sana
 

Attachments

  • 5933792-dd303e979e2b1d0051aaf53454deb742.mp4
    1.8 MB
Catoon made fashion show - Karibu ni muda wa Kutengeneza katuni za Kitanzania maana Mama unajua kuzaa watoto hata mie ni mtuuuu
pp_carsontheroad_herobanner_mobile_571_c10ce9f7.jpeg
 
Catoon made fashion show - Karibu ni muda wa Kutengeneza katuni za Kitanzania maana Mama unajua kuzaa watoto hata mie ni mtuuuu wao
cars_66.jpg
 
Catoon made fashion show - Karibu ni muda wa Kutengeneza katuni za Kitanzania maana Mama unajua kuzaa watoto hata mie ni mtuuuu wao haswaaa

Cars_2006 (2).jpg
 
Catoon made fashion show - Karibu ni muda wa Kutengeneza katuni za Kitanzania maana Mama unajua kuzaa watoto hata mie ni mtuuuu

pp_carsontheroad_herobanner_mobile_571_c10ce9f7.jpeg

Catoon made fashion show - Karibu ni muda wa Kutengeneza katuni za Kitanzania maana Mama unajua kuzaa watoto hata mie ni mtuuuu wao

cars_66.jpg

Catoon made fashion show - Karibu ni muda wa Kutengeneza katuni za Kitanzania maana Mama unajua kuzaa watoto hata mie ni mtuuuu wao huko

cars_boast.jpg

Catoon made fashion show - Karibu ni muda wa Kutengeneza katuni za Kitanzania maana Mama unajua kuzaa watoto hata mie ni mtuuuu hii fasheni kali Sana

Cars_2006 (2).jpg
 
Back
Top Bottom