Pre GE2025 CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Pre GE2025 CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
fasta ACT na CCM wametangaza wagombea wao wa urais ndani wiki mapema januari. Kule CHADEMA nao watoke na azimio moja la nani agombee urais kampeni zianze tu maana kuna vyama vitaachwa mbali sana bado vimelala usingizi wa kisiasa
Mgombea wa CDM ni lisu tu labda mgombea mwenza ndio hajajulikana
 
Vipi ratiba ya tume ya uchaguzi kuanza kampeni kama tayari vyama vimejipanga tayari vina wagombea wao wa urais? Maana soon kampeni zinaanza indirect and direct sera zinaanza kumwagwa
 
✅🟢🟢🟢🟢🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Sasa kumekuchaaaaaa, Jogooo limewika Dodomaaaa, Kada wa CCM tumpe kura za ndioooooooooo..!!!

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Hongera sana Mh. Rais Samia, Mwenyekiti na Mgombea wetu wa Urais wa CCM, hongera sana Mh. Balozi Dr. Emanuel Nchimbi, kuwa mgombea mwenza wa Urais wa CCM

Jogoo limewika Dodomaaaa….!!! 🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏
 
Huyu ndo atakua mgombea Uraisi 2030 habarii za February na group wamesha vurugwa tayari Deep state ilisha pendekeza hilo jina kitambo wakati bado iko Brazil kama barozi JPm alimuona kama tishio kwake na kumtupa Brazil
Story za vijiweni
 
Back
Top Bottom