Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Ccm ni chama cha kiimla....Mwenyekiti ndiye anaamua, siyo katiba wala ilani.
Kila kitu kimeenda tofauti na matarajio ya wajumbe.
Walidhani walienda kufanya maamuzi, hawakujua walienda kupewa maamuzi kutoka juu.
Mwenyekiti ndio mwenye maamuzi wengine ni kufuata tu...
Drifter Pascal Mayalla