MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamba "kasamehewa" sababu aliomba msamaha kiainaHivi kosa la Membe ni nini?! Adhabu sawa tumeelezwa kosa je
Tutakuja kutajwa JF kwamba tumepunguza au tumewakosesha kura... Si unakumbuka ya Pius Msekwa kwenye tathmini ya kupungua kwa kura za CCM wakati wa awamu ya pili ya JK...!?Hata sio Mistake,nilichojifunza wanasiasa waliokulia CCM wakitimuliwa tu huwa hawana nguvu yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndiyo atajua kama maharage si mboga. Ujanja wa mamba always ni ndani ya maji. Umarufu woooote huo aliodhani anao ni kwa ajili ya CCM. Nje ya CCM hataamini macho yake. Tena ni bora sasa atulie kimya kabisa itamsaidia. Maana kwake yeye hata kura 200000 hatapata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa nje ya System Ni Kama Samaki nje ya Majikwa sura hii 2020 mwisho wa ccm, Membe c wakupuzwa hata kidogo
Jeuri ya kumnyima cheo haipo...mtampigia magoti mumpe cheo kikubwaMembe alipaswa kusoma alama za nyakati.
Upinzani huyu mkimpokea,mumpokee kama mwanachama wa kawaida ila msimpe uongozi.
Mkimpa uongozi,thamani yake itapanda na zitafanyika juhudi kumrudisha CCM ambapo atapokelewa kama mfalme.
Enough is enough.
Umeacha kusema CCM ina wenyewe???Haini stui Maana Ccm Niya Magufuli sio Ya Wanachama
Kuwa ccm Katika Katika Kipindi hichi Ni Kujidhalilisha tu
Wajanja Wanajikataa mapema na Baada Ya Magufuli Hakuna Ccm Tena Nimemaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kati ya Kinana na Membe nani aliyempa mkulu kubwa? Naona hao wazee Magufuli kawaacha kwakuwa hawana impact. Kaona Membe anatishia kiti amani akaamua kuruka naye!