Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,357
Hao wenyewe ndo akina nani?Wampokee awape wabunge wengi kama lowasa ila hapo kwenye urais wasahau kabisa hii tz ina wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wenyewe ndo akina nani?Wampokee awape wabunge wengi kama lowasa ila hapo kwenye urais wasahau kabisa hii tz ina wenyewe
Tumekuelewa kumbe hao ndio wenye CCMWamesamehewaaaaaa..... Ukisikia ccm ina wenyewe ndio hao sasa
Jr[emoji769]
Nje ya CCM hana chochote. Na ni wengi wataanza kumkimbia
CCM ni taasisi ambayo haiyumbishwi na mtu au watu,kuwepo/kutokuwepo kwa membe and his colleagues hakukifanyi chama kuyumba,membe and the alike ni kama jani kwenye nyumbani,je likindondoka nyumba itavuja?,CCM ina mifumo imara sio kama CHADEMA ambayo inamuabudu only one person
Sent using Jamii Forums mobile app