CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Hapa Imedhihirika wazi kwamba aliyekuwa anawindwa ni huyu bwana, wengine walikuwa wasindikizaji tu. Jiwe bhana[emoji23]
 
Haya maamuzi yashatolewa, rudini kazini kwenu mkajenge taifa.
 
Upande wa pili changamkieni fursa tayari mmepata mgombea huyo!

Uelekeo wa Membe (CDM or ACT) una maana kubwa sana kwenye siasa za upinzani hasa kuelekea uchaguzi Mkuu 2020!

Ukizingatia hadi sasa hamna hata mtu "Presidential material" anayetajwatajwa kugombea huku bara.
 
Kitu ninacho amini CHADEMA washajifunza upuuzi wao wa 2015, wakirudia tena 2020 nitawashangaa.Ila kaeni mkijua CCM ni watoto wa baba na mama mmoja usishangae kesho yameisha.
 
CCM haimwabudu naniliuuu
CCM ni taasisi ambayo haiyumbishwi na mtu au watu,kuwepo/kutokuwepo kwa membe and his colleagues hakukifanyi chama kuyumba,membe and the alike ni kama jani kwenye nyumbani,je likindondoka nyumba itavuja?,CCM ina mifumo imara sio kama CHADEMA ambayo inamuabudu only one person

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wazee wawili mmoja kakaza, mwezako alikuwa anatafuta namna ya kumaliza mambo..!
 
Back
Top Bottom