CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Mchezo huo unachezwa,is like lowasa but this is another version of technique in politics,CCM kwa mbinu hizi watakaaa madarakan muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na makamba na kinana wameachwa kwa sababu hawakuwa na nia ya kugombea urais, Ila wangekua na nia nao wangeliwa kichwa

Polepole, mangula, bashiru na jiwe historia itawahukumu vibaya sana

Membe atarudishiwa uanachama ni lini sijui lakin lazima atakuja kurudishiwa uanachama
 
ccm kama siyo kinana na yule chalii ingeshajifia,
leo mtampa majina yote ila uraiani wana nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwamba uhai wa CCM unamtegemea kinana? Kati ya CCM na Kinana kipi kinategemea chenzie.

Nafikiri kipindi chao na JK ndio CCM ilijifia na ilipata unaosemekana ushindi kwa mbinde bara na Zenji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom