CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Ijumaa tulifu na Mambo mazuri kama hayo..safi kabisa hiyo mambo.
 
Akili yako unaijua mwenyewe
 
Chadema si imekufa au imefufuka?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe alipaswa kusoma alama za nyakati.

Upinzani huyu mkimpokea,mumpokee kama mwanachama wa kawaida ila msimpe uongozi.

Mkimpa uongozi,thamani yake itapanda na zitafanyika juhudi kumrudisha CCM ambapo atapokelewa kama mfalme.

Enough is enough.
Hahahaha Pokeeni Oili chafu hiyo
 
Membe alikua tishio kwa Magufuli ,,,,na Jiwe alikua anamlia timing tu amtoe hapo sasa njia ya kutawala mpaka kifo chake ni nyeupeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…