adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Ijumaa tulifu na Mambo mazuri kama hayo..safi kabisa hiyo mambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili yako unaijua mwenyeweHili ni fundisho kwamba mliopo CCM mtambue ipo siku na nyie mtafanyiwa haya kwa kujisahau kusimamia maslahi ya nchi kama kuhitajika KATIBA mpya ambayo itaondoa mambo kama haya mkidhani mtaendelea kulindwa huko CCm milele... Hii yote ni sababu ya Katiba mbovu inayompa madaraka makubwa mtu mmoja TU
Makamba atakuwa alikuwa Kila siku analialia kuomba asameheweKinana apewa onyo
Makamba asamehewa
Membe afukuzwa uanachama
Jr[emoji769]
CCM ni taasisi ambayo haiyumbishwi na mtu au watu,kuwepo/kutokuwepo kwa membe and his colleagues hakukifanyi chama kuyumba,membe and the alike ni kama jani kwenye nyumbani,je likindondoka nyumba itavuja?,CCM ina mifumo imara sio kama CHADEMA ambayo inamuabudu only one person
Sent using Jamii Forums mobile app
Atamimi naamini hivyo maana kwasi hii ya kununua upinzani asinge mwamcha membeMembe nadhani kafukuzwa kwa vile ananyemelea Urais,Ni full udikteta
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima tuseme hata kama hampendi.
Umechemshaaa CCM sioo taasiisi ama.n"goo kama chademaa kawwambiee kabisaakwa sura hii 2020 mwisho wa ccm, Membe c wakupuzwa hata kidogo
Hahahaha Pokeeni Oili chafu hiyoMembe alipaswa kusoma alama za nyakati.
Upinzani huyu mkimpokea,mumpokee kama mwanachama wa kawaida ila msimpe uongozi.
Mkimpa uongozi,thamani yake itapanda na zitafanyika juhudi kumrudisha CCM ambapo atapokelewa kama mfalme.
Enough is enough.
Umechelewa mzeeKinana apewa onyo
Makamba asamehewa
Membe afukuzwa uanachama
Jr[emoji769]
Hata mm binafsi huwa sioni impact yoyote kwa Membe,labda kama simjui vemaMembe Hana mvuto wowote Wala Hana mikakati yeyote alikuwa anabebwa tu na Utawala
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimetoka kapa.Ila naona Membe hatafurukuta.Atatumia mbinu zipi kusurvive.Sanasana akubali kushindwa awe Mpole.Membe hata wapambe wake Sasa hivi watamkimbiaTofautisha kati ya kuwa nje ya maji NA kuwa nje ya maji ya Feri na kutumbukizwa ndani ya maji ya Nungwi