CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Ijumaa tulifu na Mambo mazuri kama hayo..safi kabisa hiyo mambo.
 
Hili ni fundisho kwamba mliopo CCM mtambue ipo siku na nyie mtafanyiwa haya kwa kujisahau kusimamia maslahi ya nchi kama kuhitajika KATIBA mpya ambayo itaondoa mambo kama haya mkidhani mtaendelea kulindwa huko CCm milele... Hii yote ni sababu ya Katiba mbovu inayompa madaraka makubwa mtu mmoja TU
Akili yako unaijua mwenyewe
 
Chadema si imekufa au imefufuka?
CCM ni taasisi ambayo haiyumbishwi na mtu au watu,kuwepo/kutokuwepo kwa membe and his colleagues hakukifanyi chama kuyumba,membe and the alike ni kama jani kwenye nyumbani,je likindondoka nyumba itavuja?,CCM ina mifumo imara sio kama CHADEMA ambayo inamuabudu only one person

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe alipaswa kusoma alama za nyakati.

Upinzani huyu mkimpokea,mumpokee kama mwanachama wa kawaida ila msimpe uongozi.

Mkimpa uongozi,thamani yake itapanda na zitafanyika juhudi kumrudisha CCM ambapo atapokelewa kama mfalme.

Enough is enough.
Hahahaha Pokeeni Oili chafu hiyo
 
Membe alikua tishio kwa Magufuli ,,,,na Jiwe alikua anamlia timing tu amtoe hapo sasa njia ya kutawala mpaka kifo chake ni nyeupeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Benard Membe amekiri kupokea taarifa za kufukuzwa kwake CCM na ametoa ujumbe wa Twitter kuwa ataongea na waandishi wa habari hivi punde.

Aidha anakiri kupigiwa simu nyingi kutokana na tukio hilo. Stay tuned

4E0268C7-F785-4E6C-8E7E-0B0CA370CBBA.jpeg
 
Back
Top Bottom