CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Kazi ipo.CCM ni maji, Membe ni kama samaki. Samaki ataweza ishi akiwa nje ya maji?Labda Mkapa,Jk waingilie. Tutaona mengi.
Mku samaki yaweza kutoka baharini ikaishi ziwani. Muache mze wa watu achague pakwenda vyama viko vingi sana Tz. Chadema watupe ndowano sasa!!!
 
Tatizo hana mvuto.
 
Hivi unayajua makosa ya uhaini ,usaliti na uchochezi wewe? Yaani kusema rais amechanganyikiwa ? Hebu kuweni serious bana. 1954,
 
Kwenye mashindano mshindani akiwa mmoja lazma awe mshindi...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…