CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Eti ...niguse ninuke...mikwara mingine bwana, sasa ameguswa, akanuka , akapakwa pafyumu harufu kwisha!
 
CCM wamefeli sana kumfukuza Bernad Membe, ni bora wangefanya maamuzi magumu ya kumtoa jiwe 2020 ili wajikomboe kwenye balaa litakalowakuta uchaguzi mkuu.
Hahahaha, kama Mzee Lowasa alishindwa mchana kweupe, sembuse huyu Mzee wetu membe hata hajulikani kwa watu. Hahahaha, mnachekesha sana wapinzani. Ila uzuri kizazi chenu cha waongo na wazandiki kinapukutika chote.
 
1954,
Where is azory first kabla ya kumsifia Rais, Rais rais. Maana unavyomtukuza mpaka inatia kinyaa!
Rais ni human being kama wewe amepewa kazi na wewe na mimi, atufanyie kazi zetu, ni udikiteita wa binadamu kujipa nguvu ya mapolisi, majeshi kuonea watu! anakunya mavi yananuka kama yako, mbona unamuona kama ni alien kutoka wapi sijui!
 
Hivi unayajua makosa ya uhaini ,usaliti na uchochezi wewe? Yaani kusema rais amechanganyikiwa ? Hebu kuweni serious bana.
Nadhani hauko serious na issues au hujui nchi inavyoongozwa...yaani kuchukulia kuwa rais ' amechanganykiwa' kuwa ni kitu Cha kawaida then nadhani bado ni mchanga kwa Mambo ya nchi...
 
Labda nikusaidie mkuu, si kwamba Chadema ina sera nzuri sana za kuja kumkomboa mwananchi kuliko ccm au chama kingine cha siasa, mapenzi ya wananchi kwa chadema yanatokana na Wananchi wengi kutoipenda/kuichoka ccm. Waweza maliza Chadema wote lakini huwezi maliza upinzani wote ambao uko ndani ya mioyo ya wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
2015-Lowasa
Chadema
2019
B.membe
______ __ldn
2024...(...???)
________,,(...??...)
 
Where is azory first kabla ya kumsifia Rais, Rais rais. Wewe inavyoonekana hata rais akija nyumbani kwako utampa ......chochote akitakacho......, maana unavyomtukuza mpaka inatia kinyaa!
Rais ni human being kama wewe amepewa kazi na wewe na mimi, atufanyie kazi zetu, ni udikiteita wa binadamu kujipa nguvu ya mapolisi , majeshi kuonea watu! anakunya mavi yananuka kama yako, mbona unamuona kama ni alien kutoka wapi sijui!
Hujui kitu dogo....urais in taasisi..
 
Mku samaki yaweza kutoka baharini ikaishi ziwani. Muache mze wa watu achague pakwenda vyama viko vingi sana Tz. Chadema watupe ndowano sasa!!!
Nimesema maji. Sijasema ziwa wala bahari. Main factor hapa ni maji.
 
Back
Top Bottom