CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Hana lolote Mamba nguvu zake ziko majini huku nje mweupe tu.!
Umeona eeeh. Yaani kacheza kishamba sana. Kama kweli alikuwa ana nia ya kuchukua form alitakiwa acheze Pele. Wangestukia tu mpira golini.
 
Kampeni meneja mwaka huu wa mgombea uraisi wa CCM anakuwa nani? Mh. Kinana ametumika kama kampeni meneja wa Mh Kikwete na baadaye Mh Magufuli; jee CCM itamteua nani kuchukua nafasi ya Kinana?
Atakuwa Mheshimiwa Daud Albert Bashite kutoka Kolomije
 
Mbona bandiko linampamba zaidi aliyefukuzwa badala ya Chama kilichomfukuza?
 
Udikteta uko Chadema mwenyekiti miaka 20+.....kuanzia enzi za Mkapa!
Amesema kugombea Urais mkuu, eti ile kosa la Mh Membe na waheshimiwa wengine ipi ilikua kubwa na hatari? walipoitwa Mh Membe ndo alikua wa kwanza kuitikia wito.

WanaCCM wamewashiwa taa nyekundu kua amna kupinga kauli ya mwenyekiti wao; sisi huku Mlimani tunakula tu upepo baada ya kutoka beach tunachekaa. ''Akitumaliza sisi Upinzani ataamia na kwenu'' nidhani masiahara kuhusu hii kauli.
 
Back
Top Bottom