CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Kwa nchi zinazominya Uhuru wa kujieleza na demokrasia ya mfumo wa "mkono wa chuma" Kama ilivyo Tanzania hilo siyo Jambo la ajabu.
Nadhani hauko serious na issues au hujui nchi inavyoongozwa...yaani kuchukulia kuwa rais ' amechanganykiwa' kuwa ni kitu Cha kawaida then nadhani bado ni mchanga kwa Mambo ya nchi...
 
“Watanzania wenzangu nimepata habari ya kufukuzwa kwangu kutoka kwenye Chama changu cha CCM, simu zinamiminika hadi nashindwa kuzijibu, Tulieni! nitapata muda wa kuongea na wote muda si mrefu” - MEMBE

My take,huyu jamaa akae kimya huu si muda muafaka kwake kupayuka payuka hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When you talk of free countries in the world, stop mentioning this detention camp of 1 billion + people!
Mind you there is no free country!

Even America is enslaved and controlled by few individuals in the wide scope of underground processes initiated, and run by elites.

That's how capitalist system works.
 
Kwa nchi zinazominya Uhuru wa kujieleza na demokrasia ya mfumo wa "mkono wa chuma" Kama ilivyo Tanzania hilo siyo Jambo la ajabu.
Demokrasia ni kitu gani??? Unajua maana ya demokrasia au maana ya kuminyaa demokrasia?? There is no absolute democracy anywhere in this world...
 
Magufuli kaiweka CCM mfukoni mwake. wanachama msikubali
 
Wanadai kuwa CCM ina wenyewe .... Labda wenyewe wako Mbinguni.

Ila kwa Bongo kwa sasa CCM ina mwenyewe. Hamna cha Mkapa, JK, Malecela, Warioba wala Mzee wa Ukerewe. Wote hao wanajua wakileta za kuleta wanajua ni habari gani wataipata ...!!
 
Back
Top Bottom