CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Kazi ipo.CCM ni maji, Membe ni kama samaki. Samaki ataweza ishi akiwa nje ya maji?Labda Mkapa,Jk waingilie. Tutaona mengi.
Mku samaki yaweza kutoka baharini ikaishi ziwani. Muache mze wa watu achague pakwenda vyama viko vingi sana Tz. Chadema watupe ndowano sasa!!!
 
Mh Membe kapoteza sifa ya kuwa mwanachama wa ccm na SIYO sifa yakuwa mwanasiasa. Milango iko wazi kwake kwenda chama chochote cha siasa Tanz.

Mfano akija Chadema tutamsafisha kisha ninyi kama kawaida yenu mtamtamani tena na mtamnunua kwa bei mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hana mvuto.
 
Hivi unayajua makosa ya uhaini ,usaliti na uchochezi wewe? Yaani kusema rais amechanganyikiwa ? Hebu kuweni serious bana. 1954,
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
tapatalk_1582623324418.jpeg
 
Kwenye mashindano mshindani akiwa mmoja lazma awe mshindi...!
 
Back
Top Bottom