CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Adhabu itatolewa kulingana na athari iliyotokana na makosa yao.
 
kwanza hawataweza na wala hawatajaribu kuwafukuza uwanachama,watasema tu tumewasamehe tujenge chama,sababu hawa vifaru hawana cha kupoteza ila ccm itapoteza
 
Hata kwa Lowassa mlisema hivihivi
 
Kampeni meneja mwaka huu wa mgombea uraisi wa CCM anakuwa nani? Mh. Kinana ametumika kama kampeni meneja wa Mh Kikwete na baadaye Mh Magufuli; jee CCM itamteua nani kuchukua nafasi ya Kinana?
Steven Nyerere
 
Wapuuzi hawa wanapashwa kuondoshwa period!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kina Lowassa na Kinana walikuwa Upinzani na kuinanga CCM wamepokelewa kama Mashujaa CCM haina Ubavu wa Kuwafukuza hao Makada itaishia kotoa Onyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM imekuwa ni chama cha kigaidi siku hizi.... ndiyo maana wengine tumeamua kukaa kando kijifie chenyewe huko!!
 
Raisi MAGUFULI hana busara.tabia alizotokanazo darasani anaziendleza mpaka leo. Ni mjivuni na mwenye kiburi sana dhidi ya waliochini yake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…