CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Membe alipaswa kusoma alama za nyakati na ajue kwenda mahakamani ni kupoteza muda iwapo atafikiri kufanya hivyo.

Upinzani huyu mkimpokea, mumpokee kama mwanachama wa kawaida ila msimpe uongozi.

Mkimpa uongozi, thamani yake itapanda na zitafanyika juhudi kumrudisha CCM ambapo atapokelewa kama mfalme.

Enough is enough.
 
Nanyamaza ila kuna upande ni waoga sana
 
Back
Top Bottom