CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Tutarajie mengi na mengineyo,kwa taarifa za hivi punde Membe hatambuliki tena kama mwanachama wa chama cha mapinduzi na wengine baadhi waliokuwa kikaangoni kupewa adhabu na baadhi yao kupata masamaha wa makosa yao.

Polepole kamaliza kazi yake ya kutoa taarifa kwa umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Nipo natafakari maneno ya Membe baada ya kutoka kufanya mahojiano na kamati ya maadali . kesho jumamosi kuna kipindi cha magezeti Wasafi Fm?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom