Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
CCM ni chama kikubwa sana, hao watu hawana ubavu wa kufanya Ccm iyumbeBoniphace Kichonge,
Naonya CCM wasifanye Maamuzi ya Hasira na Kukomoa dhidi ya hawa Makada Waandamizi kwani wanaweza wakaja Kujuta kama si Kujutia hapo baadae.
Nimeonya hivi hasa baada ya kupata za chini chini kuwa Maamuzi yatakayotolewa dhidi yao yatakuwa ni ya Kuwakomoa zaidi badala ya kuwa ya Kibusara kwa Afya na Ustawi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nipo mimiKampeni meneja mwaka huu wa mgombea uraisi wa CCM anakuwa nani? Mh. Kinana ametumika kama kampeni meneja wa Mh Kikwete na baadaye Mh Magufuli; jee CCM itamteua nani kuchukua nafasi ya Kinana?
Akili kubwa ilitumika. Wangepigwa nyundo zinazofanana madhara yangeonekana haraka sana, ila sasa hapa waliotakiwa kuleta madhara wanatakiwa wachague A au B.Kilichofanyika ni divide and rule!! Utatu wao kwishney! Mmoja nje wawili ndani huku midomo imefungwa! Chezea chichiyemu weye!
Maendeleo hayana chamaAma kwa hakika CCM ni chama kikubwa chenye demokrasia pana tofauti na Chadema.
Awamu iliyopita akiwa Katibu mkuu wa CCM mzee Kinana alinukuliwa mara kadhaa akiwaita mawaziri wa serikali yake kuwa ni mizigo lakini leo yeye ndio amegeuka kuwa mzigo mbele ya Wasomi wanaokiongoza chama kwa sasa.
Niishie hapo Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!