Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kampeni meneja mwaka huu wa mgombea uraisi wa CCM anakuwa nani? Mh. Kinana ametumika kama kampeni meneja wa Mh Kikwete na baadaye Mh Magufuli; jee CCM itamteua nani kuchukua nafasi ya Kinana?
Hata hao wanaotoa uamuzi wanajua nguvu ya hao wazee ni shidaaaa,muda utasema wacha tusubiri
huwa nafikiria wanaposema nguvu ya kinana.Ni ipi hasa?....two options.
1.wanazuiwa kufanya siasa for sometime -mpaka uchaguzi upite
2.watasema tumewasamehe lakn mmeonywa
.....hawana uwezo wa kuwafanya nje ya hayo mawili coz wanajua nguvu ya Kinana si ya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau.
Tunawaletea Taarifa za Maamuzi yaliyochukuliwa na Kamati Kuu Ya CCM Kutokea Lumumba Dar es salaam dhidi ya Waliokuwa Makada wa Chama hicho wakiongozwa na Bernard Membe.
View attachment 1371282
Tafadhali usikae mbali.
Updates:
Mwenyekiti wa Chama amewasili Ukumbini Tayari kwa Maamuzi.
Kikao bado kinaendelea
Kampeni meneja mwaka huu wa mgombea uraisi wa CCM anakuwa nani? Mh. Kinana ametumika kama kampeni meneja wa Mh Kikwete na baadaye Mh Magufuli; jee CCM itamteua nani kuchukua nafasi ya Kinana?
Hahahaha, ndio hapo ujiulizeH
huwa nafikiria wanaposema nguvu ya kinana.Ni ipi hasa?
Wamefukuzwa mkuuHakuna wa kuwafukuza uanachama wa CCM hapo.
Kama wamefukuzwa Ni jambo la heri kabisa.Hawa ni wa kufukuzwa tu.Wamefukuzwa mkuu
Ikiwa na polisi yatosha wengine ni ziadaCcm ikiwa na hao jamaa ni sawa na isipokuwa nao?
Sumaye na MwambeKampeni meneja mwaka huu wa mgombea uraisi wa CCM anakuwa nani? Mh. Kinana ametumika kama kampeni meneja wa Mh Kikwete na baadaye Mh Magufuli; jee CCM itamteua nani kuchukua nafasi ya Kinana?
Kwa Magufuli kampeni Meneja hakuwa Kinana alikuwa Abdallah BulemboKampeni meneja mwaka huu wa mgombea uraisi wa CCM anakuwa nani? Mh. Kinana ametumika kama kampeni meneja wa Mh Kikwete na baadaye Mh Magufuli; jee CCM itamteua nani kuchukua nafasi ya Kinana?
Alikumbukwa katika teuzi?Kwa Magufuli kampeni Meneja hakuwa Kinana alikuwa Abdallah Bulembo
Sent using Jamii Forums mobile app