Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
KOSA LA MEMBE BERNARD NI NINI?????Kinana apewa onyo
Makamba asamehewa
Membe afukuzwa uanachama
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KOSA LA MEMBE BERNARD NI NINI?????Kinana apewa onyo
Makamba asamehewa
Membe afukuzwa uanachama
Jr[emoji769]
Wewe bweha jike kweli wewe kwani Nani kakwambia ujibu Soma pita mazima.Ngonjera yako ya kipopoma unamwandikia nani! Membe ni taifa Kubwa, Kazi na bata
Kumekucha !
Kazi ipo.CCM ni maji, Membe ni kama samaki. Samaki ataweza ishi akiwa nje ya maji?Labda Mkapa,Jk waingilie. Tutaona mengi.
Yeye ndo maji kwa Sasa.CCM is directly propotional to Mwenyekiti wake. (MAGUFULI)Hivi ndugu mwenyekiti yeye ni mamba au ni samaki?
Tatizo Magufuli ndo H20 mwenyewe kwa sasa. CCM ni Magufuli kwa sasa. Membe alijua yataisha salama ndo maana hakusema yaliyojiri siku ya mahojiano.
Tundu Lissu kaenda wapi?tayari upande wa pili wanapiga hesabu ya mgombea wa urais maana hawana
Mku Mkiti ndo Chairman wa Chama.kama huamini Jaribu kumudharau Mh. Mbowe uone kama utabaki salama?Kumbe ukiwa CCM mwenyekiti ni mfalme. Hii kali....... Hii sio nzuri kwa vizazi vijavyo. Nchi hii inatengeneza mabomu ya ajabu sana. Kwenye chama, nje ya chama. Watu ni miungu abudiwa. Looo......
ACT WazalendoNaona atakwenda CHADEMA kuchukua nafasi ya Lowassa
Na kwa mara ya kwanza ndio ataionja jela, ukiwa upande ule lupango unaibipuAnasajiliwa ligi ya China muda si mrefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na akisha enda uko baada ya wiki 3tu zinatosha kumsafisha mana Kuna watu Wana ushawish na porojo balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa inabidi afunguke tu hakuna jinsi.Kwa hiki kilichotokea nadhan kuna haja ya Membe kuzungumza na watanzania wanaompenda aweze kuelezea nini kilitokea.
Bado kinana na mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ijumaa tulifu na Mambo mazuri kama hayo..safi kabisa hiyo mambo.