CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

AAnzishe chama au aingie makubaliano na chama kitakachompa form ya urais.
 
Makada wa CCM ni wakati sasa wakutubu na kusimamia haki na kuacha mambo yenu ya gizani gizani.
Makada wa CCM ni wakati sasa wakuisimamia Tanzania sio CCM, Tanzania kwanza CCM baadaye.
CCM lazima mtambue CCM ni genge la watafuta maslahi, na kila wakati lazima magenge haya yatofautiane.
CCM kwa sasa ina genge jipya linalojaribu kupambana na magenge mengine, Genge moja lakina Rostam na El tayari limeshacompromise na maslahi yao yamehakikishwa, Genge lingine lakini Membe limeleta jeuri na halitaki kucompromise zaidi ya ofisi kubwa hapo mziki ndio ulipo na anayeumia ni Tanzania na Watanzania.

Ni ukosefu wa akili mtu timamu kusimama mbele za watu na kuiambia dunia eti CCM ni taasisi imara inayojielewa, labda kama unaongozwa na hisia za ushabiki na wewe ni mnufaika wa magenge maslahi ya siasa za CCM na Bongo kiujumla.

Ni wakati sasa wa Watanzania kustuka na kuachana na hili Genge la CCM na baadala yake nchi iende kwa magenge mengine ili heshima irudi kwa wananchi. CCM aiheshimu tena utu wa WAtanzania zaidi ya maslahi ya CCM na watu wake..
 
Kwa hiki kilichotokea nadhan kuna haja ya Membe kuzungumza na watanzania wanaompenda aweze kuelezea nini kilitokea.

Bado kinana na mwenzie
Tatizo Magufuli ndo H20 mwenyewe kwa sasa. CCM ni Magufuli kwa sasa. Membe alijua yataisha salama ndo maana hakusema yaliyojiri siku ya mahojiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ukiwa CCM mwenyekiti ni mfalme. Hii kali....... Hii sio nzuri kwa vizazi vijavyo. Nchi hii inatengeneza mabomu ya ajabu sana. Kwenye chama, nje ya chama. Watu ni miungu abudiwa. Looo......
Mku Mkiti ndo Chairman wa Chama.kama huamini Jaribu kumudharau Mh. Mbowe uone kama utabaki salama?
 
Ukifukuzwa au ukishushwa cheo njia rahisi kwako ni kuchutama na kunyamaza kimya! Usije ukapatwavya ya Nape Nauye
 
Anasajiliwa ligi ya China muda si mrefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na akisha enda uko baada ya wiki 3tu zinatosha kumsafisha mana Kuna watu Wana ushawish na porojo balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa mara ya kwanza ndio ataionja jela, ukiwa upande ule lupango unaibipu
 
Maamuma mwingine wa CCM huyu hana hoja wala hajui sababu za membe kufukuzwa ,wala hajajua kama ni haki au kaonewa anaropoka tu. CCM mnakazi na hawa vilaza wenu.
Ijumaa tulifu na Mambo mazuri kama hayo..safi kabisa hiyo mambo.
 
Back
Top Bottom