G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
natamani kuona akijimwambafayi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa inabidi afunguke tu hakuna jinsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa inabidi afunguke tu hakuna jinsi.
Ha ha ha unafikiri chadema wamekuwa zoazoa sio.
Hahahah eti wananch wamemchoka hahahahahahahaah hahahahahahahaah Hahahah wananch tunavyo wasingizia mungu anatuonaHawa akina Abrahman Kinana na Yusuf Makamba walipaswa wawe washauri wake na siyo kushauriwa na Pole Pole na Bashiru Ally au Makonda. Hata waliyoyaongea kwenye simu alizowarekodi kijinai bado ni ushauri mzuri wa kukijenga chama, Mwenyekiti wa CCM kama angekuwa na akili nzuri angechukulia mawazo ya wale wazee positively kuliko kuwadhalilisha kwa kuyaanika na kutaka wamuombe msamaha.
Hili likiendelea usijeshangaa siku nyingine ikatokea akamdhalilisha JK na Mkapa.
Huyu Jiwe analazimisha kupendwa wakati kiukweli wananchi wamemchoka sana.
Sisi ni wapenzi watazamaji na wasikilizaji tu. Ngoja tutege masikio na tukodoe macho kodo.Kazi ipo.CCM ni maji, Membe ni kama samaki. Samaki ataweza ishi akiwa nje ya maji?Labda Mkapa,Jk waingilie. Tutaona mengi.
Pamoja na hilo ila WaTz wengi wamechoshwa na namna siasa zinavyoenda,unafiki ni mwingi kuliko uhalisia iwe kwa wapinzani au chama tawala wote ni wachumia tumbo tuHuoni mzuka kwa sababu ya wivu wa Meko kuwapiga pin wapinzani wake kwakutumia mkono wadola plccm,sasa subiri kipenga kipulizwe uone mzuka ulivyo mwingi,kwanza mitaani watu walivyomiss amshaamsha ya wapinzani ungejua
Halafu unajua kwa nini amefukuzwa? Hakuomba msamaha. Tatizo ni kwamba huyu mtu yeye alikuwa ameogopa, sasa akawa anajitutumua kwa maneno kwenye media, ili aonekana kuwa hajaogopa. Hata siku ile alivyotoka kuhojiwa, namna alivyokuwa anaongea na waandishi wa Habari ilikuwa inaonyesha wazi kabisa kuwa anatumia maneno kufunika uoga aliokuwa nao. Asingekuwa ameogopa, angechukua hatua mapema na asingefukuzwa. USIOGOPE!Sionagi chochote Cha maana kwa Hawa watu mpaka mumuite Jasusi mbobezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ipo.CCM ni maji, Membe ni kama samaki. Samaki ataweza ishi akiwa nje ya maji?Labda Mkapa,Jk waingilie. Tutaona mengi.
Upo kwa mujibu wa katiba!Kwani kuna uchaguzi awamu hii?!
Sasa ikitokea mwingine akainesha nia ya kuchukua fomu na yeye atafukuzwa
Nadhani this time around ACT ndio wanahitajika kuwa main opposition party, watapata viti vingi kuzidi Chadema..Membe kapewa jukumu Hilo....CCM wanafanya Mambo Yao tena... Hatari sana.Hape sasa Membe atakuwa free kuchagua anagombea urais kwa kupitia chama gani kati ya vile ACT au Chadema
Mkuu mbona una hasira sana? Mchukueni ninyi huyo Membe.
Tuliwaambia hii ndio ccm haitazami mtu usoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nyiyi hamujielewi timu yenu kila siku inahaha kununua wachezaji kwa harama yoyoe ile lkn na shangaa muna fukuza benchi la ufundi wanao wapa mbinu za ushindimwiteni kwenye lichama lenu, kufidia waliondoka, najua yeye ana mtaji wa wanachama milioni 10, tofauti na Lowasa aliyekuwa na mtaji wa wafuasi mil 6 kutoka ccm.
Sent using Jamii Forums mobile app