Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,240
- 2,010
Alafu wew utafaidika na nini??Membe katuchafulie kwa mabeberu tukose misaada.
Wamemwaga mboga wewe mwaga ugali, bora tukose wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu wew utafaidika na nini??Membe katuchafulie kwa mabeberu tukose misaada.
Wamemwaga mboga wewe mwaga ugali, bora tukose wote
Na hata katika videos zake alishawahi kupendekeza kwamba Membe afukuzwe uanachama, na ndicho kilichotokea.Mimi kinachonishangaza Sana ni musiba, hakuna wa kumgusa
Mh Membe kapoteza sifa ya kuwa mwanachama wa CCM na SIYO sifa yakuwa mwanasiasa. Milango iko wazi kwake kwenda chama chochote cha siasa Tanzania.Chadema wakimchukua nitajua ni wagonjwa wa akili.
Itakuwa ni usanii uliotukukaTuchukulia mfano polepole akachukue fomu
Ndo maana nimesema labda. Magufuli =CCM kwa sasa.Hao ulio wataja kwan hapo Kamat kuu?
Kama wapo wameshindwaje kulimaliza hill l swala kabla Membe hajapewa iyo hukumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia eti hata ubunge aligombea na wengine ile awamu ya kwanza tu, zilizofuata tatu zote alipita bila kupingwa.Ni dalili dhahiri, hata oct 2020, anataka kupita bila kupingwa. Yupo level ya juu ya kutukuzwa. Watakaojitokeza nje kupambana watapewa note vinginevyo kadi nyekundu, hakuna mechi uraisi bali ushindi wa mezani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio. Tena tuliiiiiii!!!!
mkeka umechanika....two options.
1.wanazuiwa kufanya siasa for sometime -mpaka uchaguzi upite
2.watasema tumewasamehe lakn mmeonywa
.....hawana uwezo wa kuwafanya nje ya hayo mawili coz wanajua nguvu ya Kinana si ya kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti amekwenda likizo sijui kutukana watu siku hizi ni ajira rasmi kwa maccmMimi kinachonishangaza Sana ni musiba, hakuna wa kumgusa
Mku wao walisasema kwamba CCM ni kiwanda wanao watu wengi tuKampeni meneja mwaka huu wa mgombea uraisi wa CCM anakuwa nani? Mh. Kinana ametumika kama kampeni meneja wa Mh Kikwete na baadaye Mh Magufuli; jee CCM itamteua nani kuchukua nafasi ya Kinana?
Ushamba wa yule jamaa unaligharimu taifa big timeHabari zinazoenezwa kila mahali ni kuwa nchi imepata maendeleo makubwa kwa miaka hii minne. Mtu tunayeambiwa ameyaleta haya yote anamwogopa nini mtu ambaye katika miaka hiyo minne alikuwa tu nyumbani kwake hajaleta maendeleo yoyote? Hivi hawa wawili wanaweza kushindanishwa uzani mmoja? Sasa hofu ya nini mbona mimi sielewi?
Au labda tunayoambiwa ni mafanikio sio kweli?