Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Haya ni Mabadiliko makubwa ya kisiasa ndani ya CCM,. Yaani mahojiano yamekamilika mpaka matokeo hawaja Mkolimba hata mmoja wa wahojiwa? 😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu Lowasa ishakufa mda . Lowasa tumsahau kwenye ulimwengu wa siasa..hawa ndugu walitofautiana kambi toka wakati uleee! mmoja alikuwa timu Membe ambaye ni Membe mwenyewe mwingine alikuwa timu Lowasa na ukiangalia timu Lowasa wote wanarudi kundini. hawajawahi kukubaliana na sasa inaonekana timu Lowasa wananguvu katika chama (hii ni kwa jinsi nionavyo mimi)
Alafu na anawekewa ulinzi mkali kila akimove taarifa zipo na marufuku kusafiri bila idhini .Sheria iliyopitishwa na wana Lumumba ni kwamba mtu haruhusiwi kugombea mpaka awe ametimiza walau miaka miwili ndani ya chama.
MshanaKinana apewa onyo
Makamba asamehewa
Membe afukuzwa uanachama
Jr[emoji769]
Na DABMimi kinachonishangaza Sana ni musiba, hakuna wa kumgusa
Kwingine ni zuga tu. Lengo ilikuwa BCM.Kinana apewa onyo
Makamba asamehewa
Membe afukuzwa uanachama
Jr[emoji769]
Mwaka gani bwashee?King'ora cha Membe mmekisikia, akenue meno tena kibwengo toka CCM eti nataka Urais
2020!Mwaka gani bwashee?
You are wrong...uamuzi huu siyo was kuwakomoa Hawa ma-komredi...hii no adhabu kwa makosa ya uchochezi, usalti na hata uhaini...kumsema Rais kuwa 'amechanganyikiwa' ni kosa kubwa kabisa ...it is insubordination of the highest degree...Boniphace Kichonge,
Naonya CCM wasifanye Maamuzi ya Hasira na Kukomoa dhidi ya hawa Makada Waandamizi kwani wanaweza wakaja Kujuta kama si Kujutia hapo baadae.
Nimeonya hivi hasa baada ya kupata za chini chini kuwa Maamuzi yatakayotolewa dhidi yao yatakuwa ni ya Kuwakomoa zaidi badala ya kuwa ya Kibusara kwa Afya na Ustawi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).