Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe aliongoza kikundi kupinga wale waliokuwa wakitaka kushindana na kikwete, ila yeye anafanya kile ambaho alikuwa akikipinga hapo awali. kwanini abadilike haraka namna hiyo?? Anapenda madaraka. Ila Jamaa hana mvuto wa kisiasa kabisa.
Tusidanganyane, siyo Kinana or Membe who knows politics. The guys have never been the philosophers they can't manage politics.Hata hao wanaotoa uamuzi wanajua nguvu ya hao wazee ni shidaaaa,muda utasema wacha tusubiri
Kwa kauli ya Aina hii inawezekana hujakosea...Ikija survey mpya, IQ ya watanzania itakuwa ya chini kabisa duniani. Tuna kila sababu ya kuwa hivi tulivyo hata Mungu atuongeze rasilimali mara bilioni moja ni kazi bure tu.
Afadhali awaongezee hata samaki baharini ambao hata wakishindwa kuzitumia ni haki yao.
Naaam mkubwa, kanakwamba wamemning'iniza kwenye uzi mwembamba, akijifukuta unakatika.Kanali Kinana kapewa Karipio sio Onyo
Kwny Adhabu za Chama kuna Onyo na Karipio
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiwaambia CCM ni kampuni binafsi ya familia muwe mnaelewa Yale ni maagizo ya familia kulinda kitumbua chaoKihava,
Unajua maana ya maneno, Mwenyekiti wa Chama!?
NAJUA SANA! MIMI NAULIZA TU, JE WAMEKIKOSEA CHAMA AU WAMEMKOSEA MWENYEKITI WA CHAMA? SASA KAMA MWENYEKITI WA CHAMA NDIO KAKOSEWA HIVI VIKAO VYA NINI? SI HUYU ALIYEKOSEWA NDIO AAMUE CHA KUWAFANYA? SASA ANAWAKUSANYA WENGINE WAAMUE NINI WAKATI ALIYEKOSEWA NI MMOJA?Kihava,
Unajua maana ya maneno, Mwenyekiti wa Chama!?
Sumu aionjwi mpe salamu Sumaye kakimbia sumu kakutana na sumuHakuna ushahidi wa haya unayosema .ila kila mtanzania hata ambae si mwana CCM anajuwa kosa la Membe nikuonesha nia ya kutaka uongozi ndani ya CCM.mnajiaibisha sana.
Fine, but the degree of slavery differs a lot between a socialist China and a capitalist USA! in the history of capitalism development, history tells it that socialists were optimistic that exploitation will reach a point where the exploited will revolt against their masters.Mind you there is no free country!
Even America is enslaved and controlled by few individuals in the wide scope of underground processes initiated, and run by elites.
That's how capitalist system works.
Hapa ashawaroga hawa bakwata tayari wako mfukoni kama bunge vile
Alikosea sanaMembe alikosea sana.
Ukitaka kuiona rangi ya M7 mwambie akupishe kitiAlikosea sana