CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Mie naona bora waendelee kunyooshana hivyo hivyo manake hako kautarati walichojijengea kuwa mgombea ndani ya chama hatakiwu kuwa na mpinzani hadi amalize mihula yake miwili.
 
Membe njoo chadema ugombee urais,tutakusafisha ufisadi wako wote wa mabilioni ya Libya.

Chama chetu hakibagui mtu uwe mwizi ,mchawi na fisadi sisi hatutajali ili mradi tu unatuletea wana chama wa kutosha na ruzuku yetu inaongezeka..

Nakushauri ukimbilie chadema kwa sababu chama chetu kina uzoefu wa kubadili gia angani na kupokea na kusafisha mafisadi tangu mwaka 2015.

Kabla hujachelewa Membe umeguswa ,sasa nuka ukielekea chadema na sisi tutakupokea kwa kishindo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie naona bora waendelee kunyooshana hivyo hivyo manake hako kautarati walichojijengea kuwa mgombea ndani ya chama hatakiwu kuwa na mpinzani hadi amalize mihula yake miwili.
Waliyataka wenyewe kama mbinu ya kujinufaisha nchi iwe yao. Yale yaliyomkuta Lowasa ndio haya haya.
 
Kosa alilolifanya limestahili adhabu hiyo!? wangemsamehe tu maana adhabu hiyo ni sawa na kuua mbu kwa nyundo
Si mlikuwa mnasema anaogopwa?

Tena mapema akusubiriwa OCTOBER ili kama ana ubavu wa kupimana na Magufuli kwenye uchaguzi ajiandae mapema.

Camillius mwepesi kama karatasi alikuwa OVERRATED tu.
 
Ccm Ni chama dume, ni chama kikongwe... Membe ni mwanachama wa muda mrefu wa ccm, kwa hiyo hiki chama Kiko ndani ya damu yake, piga ua hawezi kujiweka nje ya ccm na akifanikiwa kimwili basi kiroho lazima abaki ccm.

Kuna mifano mingi ya watu wengi Sana waliojiondoa au kuondolewa ccm na dakika,/siku/miezi/miaka ya mwanzo mwanzo wakajitutumua kwa hasira, misimamo, mikakakati na malengo kibao kwa ajiri ya mapambano ila hasira zikitulia wanaanza kujuta, kujilaumu na kujiona wamepungukiwa na vitu vingi sana.

msione anajikaza, huko alipo yuko anajipima afanye nini asalimu amri ama aendeleze ubishi wa kimapambano matokeo yake abadili lifestyle yake yote aliyoizoea yeye na familia yake.

kupitia sakata lake tunajifunza mambo mengi Sana kwamba pamoja na kupambana kwa ajiri ya unazoona ni haki zako lakini kumwangalia kwa kina unayepambana nae ni Jambo la msingi sana.

MWANA KUYATAFUTA, MWANA KUYAPATA.

USIGOMBANE NA BABA YAKO.

uzi tayari......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo lazma atarudi tena kwenye kamati ya maadili make alikuwa na plans nzuri san ktk taifa kwa miaka ijayo hasa 2020.... pia Mh Membe n mtu mhimu san ndan ya chama cha Mapinduzi!!.
 
Back
Top Bottom