Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Haya sasa ngoma inogile
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, siku hizi mnatuogopa sana tena sanaMembe akiongea kuna Lumumba Buku Saba zitajamba si mchezo.
eti @jembekilo, Au mods wanasemaje?
Waliyataka wenyewe kama mbinu ya kujinufaisha nchi iwe yao. Yale yaliyomkuta Lowasa ndio haya haya.Mie naona bora waendelee kunyooshana hivyo hivyo manake hako kautarati walichojijengea kuwa mgombea ndani ya chama hatakiwu kuwa na mpinzani hadi amalize mihula yake miwili.
Si mlikuwa mnasema anaogopwa?Kosa alilolifanya limestahili adhabu hiyo!? wangemsamehe tu maana adhabu hiyo ni sawa na kuua mbu kwa nyundo
Zimwi likujualo halikuli likakwisha.Kwa akili hizi mkoloni mweusi ataendelea kutawala muda mrefu sana!!
Si huyo aliyefukuzwa?Huumfahamu BKM ww?
Hahah, hizi kesi za kufua pesa zinatumika vibaya sasa...Either watapewa kesi ya kutakatisha fedha na kuwekwa sero mpaka uchaguzi upite au watasamehewa kwakuwa wakiwapoteza hao itakuwa pigo kwa fisiem