CCM yatoa Baraka zote kwa DP World kufanya uwekezaji wa Bandari

Acha uoga wa mabadiliko
 
Acha uoga wa mabadiliko
 
Haiwezekani chama tawala kikawa na lengo baya kwa nchi nzima. Huwezi kujenga SGR kwa trilioni 14 halafu uikoseshe mzigo kwa hoja nyepesi za kipuuzi za kina Mwabukusi.
Swali moja tu nijibu kwa dhati:

Je, DPW haiwezi kuwekeza kwenye bandari zetu, kwa Sheria, Taratibu na Kanuni zetu za uwekezaji, kama makampuni mengine, bila IGA?
 
Hata mimi nakuona unapuyanga kama huoni hio hela itakayokua inaingia kila mwaka ndio thamani ya bandari yetu then siwezi kukusaidia, chuki anayo Rais kwa watanganyika au hujui hilo?!
we mjinga sana. rais Samia awachukie watanganyika kwa lipi? si Samia huyu huyu kakuta watanganyika akina lema na akina wenje wanaishi uhamishoni kama wakimbizi akasema warudi Tanzania waijenge nchi? si Samia huyu mwenye huruma na hekima na busara kakuta watanganyika wa chadema wamerundikwa magerezani na alie wawake na mtanganyika lakini akasema watoeni wajenge nchi, Si ni Samia huyu huyu kakugata mtanganyika kafungia magazeti na social media kibao akasema zifunguliwe, Si ni Samia huyu huyu kakuta mtanganyika kazuia mikutano ya siasa na kusema ifunguliwe, Si Samia huyu huyu kakakuta mtanganyika haajiri watoto wenu wa kitanganyika lakini ndani ya miaka miwili kila mwaka anaajiri, Lakini Si ni huyu Samia kakuta wafanyakazi wa kitanganyika hawapandi madaraja , hawaongezwi mishahara, wanamalimbikizo ya madeni kwa selikali lakin mama wa watu mzanzibar kwa utu wake saiv wafanyakazi wanachekelea, lakin si ni Samia huyu huyu kakuta wanafaika wabodi ya mikopo wamezidishiwa deni lao na kusema haiwezekani hiyo rention fees iondolewe? ni Samia huyu huyu kawaondolea wanafunzi wa kitanganyika ada kuanzia cheke chea mpaka kidato cha sita? na bado kaanzisha madarasa mapya karibia nchi nzima. ni mengi mno aliyo yafanya ndani ya mda mfupi. Sasa. we mjinga ebu niambia Mama Samia Angekuwa na Chuki na Tanganyika angewafanyia haya ? nimesema tutayasema bila woga yale mazuri anayoyafanya mh. Raisi hata mkisema sijui tumepewa asali sijiu sukari. Huyu mama ataleta maendeleo makubwa mtakuja kumshukuru baaadae.
 
Swali moja tu nijibu kwa dhati:

Je, DPW haiwezi kuwekeza kwenye bandari zetu, kwa Sheria, Taratibu na Kanuni zetu za uwekezaji, kama makampuni mengine, bila IGA?
Uwekezaji wa DPW ni mkubwa kulinganisha na haya makampuni yetu. DPW kawekeza Uingereza na Marekani kwa teknolojia za kisasa, hawezi akaingia tu Tanzania kama wawekezaji wengine wadogo wadogo.
 
Na ni huyu huyu Samia anayeuza bandari zetu, kwani kuna mwingine?? wewe vipi?
 
Ile kesi ya kipuuzi ya Mwabukusi inakwenda kushindwa na gharama zote za kuifungua zinakuwa juu yake.
 
Uwekezaji wa DPW ni mkubwa kulinganisha na haya makampuni yetu. DPW kawekeza Uingereza na Marekani kwa teknolojia za kisasa, hawezi akaingia tu Tanzania kama wawekezaji wengine wadogo wadogo.

Hii hoja ingekua na mashiko kama ungeleta fact kua DPW anawekeza kiasi gani kinachomfanya yeye kua mwekezaji wakipekee zaidi ya apo maneno yako yanabaki kua ni mtazamo wako na ayana maana yeyote
 
Tabiri ya sheikh yahya 2006 alisema baada ya rais kikwete kumaliza muda wake atakuja rais mwingine atafanya vitu vingi kwa kipindi kifupi alafu atakufa.hapo ndio mtapata rais mwanamke baada ya huyo upinzani utashika dola...🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…