Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,341
- 2,121
BandariWamekuibia nini mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BandariWamekuibia nini mzee
Chama cha majambazi.wezi wa taifa wez!i wa taifa! chama cha madalali.
Hasira zako zinatokana na uelewa wako mdogo tu manufaa ya kuwekeza bandarini ni makubwa na faida kwa maendeleo ya taifanina hasira sana😡
Huna mamlaka hayoKama ni hivyo basi na Uraisi uliopo unakoma 2025!
Wacheni makasiriko tujenge nchi .miruzi mingi humpoteza mbwaHivi mlikua mnaexpect wataenda against mama???…… this was expected wapuuzi tu hao
Sio kweli, labda tu kama sultan huyo alikuwa ni Mzalamo, yalyale ya binadamu wa kwanza kuuona mlima kilimanjaro alikuwa Mzungu.Jamani waacheni waarabu waiendeshe bandari ikumbukwe wao ndio walioianzisha, hawawezi kushindwa kuleta ufanisi
View attachment 2683348
Swadaktaaaa!!!Huwezi kupoteza muda kusikiliza wajinga wanaotumwa na majizi kutetea maslahi yao.
Kelele ni humu tu jf,wewe na wenzio wenye id nne na kuendeleaHawa watu wako out of touch. Hawaoni wala hawasikii. Vyombo vya dola havitawasaidia kama wanavyofikiri.