CCM yatoa Baraka zote kwa DP World kufanya uwekezaji wa Bandari

CCM yatoa Baraka zote kwa DP World kufanya uwekezaji wa Bandari

Wamekuibia nini mzee
we unaona jinsi nchi inavyoenda ni sawa? hatukatai uwekezaji sisi shida ipo kwenye mkataba jambo ambalo hata hawataki kulisikia. swala la kuiba ni miaka 60+ nchi inaongozwa na wao hivyo madudu ni ya kwao 100% unajua jinsi tunapambania nchi yetu kwenye ule uzi wa jukwaa la kenya ila kiukweli tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa na wakulaumiwa ni wao ccm, sio mpaka upinzani wawepo ila wanatakiwa wahoji kwa maslahi ya taifa kuna shida kubwa sana.
 
Tutagawanyika tuwe nchi saba.
1. Zanzibar
2. Kanda ya kati
3. Kanda ya kaskazini
4. Kanda ya Ziwa
5. Kanda za juu kusini
6. Kanda ya Magharibi na
7. Kanda ya Mashariki
 
Hasira zako zinatokana na uelewa wako mdogo tu manufaa ya kuwekeza bandarini ni makubwa na faida kwa maendeleo ya taifa
we na wewe bora ungebakia face book tuu shida sisi hatupingi uwekezaji sisi shida ipo kwenye mkataba ni nini unachoshindwa kuelewa unashupaza shingo?
 
Tutagawanyika tuwe nchi saba.
1. Zanzibar
2. Kanda ya kati
3. Kanda ya kaskazini
4. Kanda ya Ziwa
5. Kanda za juu kusini
6. Kanda ya Magharibi na
7. Kanda ya Mashariki
Kanda yetu magharibi siye tuna dhahabu kibao,gesi na mafuta...tugawane tu
 
Yaani wanaopitisha ni wale wale wanakuja na mguu huu wa Serikali baadae wanakuja na mwingine eti CCM daah wabongo bhana kazi tunayo...
 
Back
Top Bottom