Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,341
- 2,121
Hakuna watanzania wangewekeza huko bandarini? Mpaka u justify kupewa waarabu kwa muda usioisha?Hasira zako zinatokana na uelewa wako mdogo tu manufaa ya kuwekeza bandarini ni makubwa na faida kwa maendeleo ya taifa
Hatoki na hamna cha kumfanyaKwanini mwenyekiti asitoke hadharani kusema hayo
Wewe kama nani .mama mpaka 2030Kama ni hivyo basi na Uraisi uliopo unakoma 2025!
we unaona jinsi nchi inavyoenda ni sawa? hatukatai uwekezaji sisi shida ipo kwenye mkataba jambo ambalo hata hawataki kulisikia. swala la kuiba ni miaka 60+ nchi inaongozwa na wao hivyo madudu ni ya kwao 100% unajua jinsi tunapambania nchi yetu kwenye ule uzi wa jukwaa la kenya ila kiukweli tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa na wakulaumiwa ni wao ccm, sio mpaka upinzani wawepo ila wanatakiwa wahoji kwa maslahi ya taifa kuna shida kubwa sana.Wamekuibia nini mzee
Nchi kujengwa na waarabu badala ya sisi wenyewe NOWacheni makasiriko tujenge nchi .miruzi mingi humpoteza mbwa
Umesoma na hukuelewa,wapi CCM wametaja mkataba!?..wao wamesema makubaliano(agreement), mkataba haujasainiwaKwani tumepinga mkataba au tumepinga upumbavu na ujuha wa kiwango cha lami uliopitishwa na wapewa rushwa huku wakiwa hawaangalii maslahi ya taifa
Wajinga sana ccmTunasalitiwa na Watanganyika wenzetu. Disgusting
Haya endelea kusubiri hivyo hivyo.Jibu hoja
we na wewe bora ungebakia face book tuu shida sisi hatupingi uwekezaji sisi shida ipo kwenye mkataba ni nini unachoshindwa kuelewa unashupaza shingo?Hasira zako zinatokana na uelewa wako mdogo tu manufaa ya kuwekeza bandarini ni makubwa na faida kwa maendeleo ya taifa
Kanda yetu magharibi siye tuna dhahabu kibao,gesi na mafuta...tugawane tuTutagawanyika tuwe nchi saba.
1. Zanzibar
2. Kanda ya kati
3. Kanda ya kaskazini
4. Kanda ya Ziwa
5. Kanda za juu kusini
6. Kanda ya Magharibi na
7. Kanda ya Mashariki
Sawa, tatizo liko wapi?Kelele ni humu tu jf,wewe na wenzio wenye id nne na kuendelea
Hahaha kufa mkataba utabaki kama ulivyo au hamia Burundiwe na wewe bora ungebakia face book tuu shida sisi hatupingi uwekezaji sisi shida ipo kwenye mkataba ni nini unachoshindwa kuelewa unashupaza shingo?
Tatizo lipo kwenye Arab/islam-phobiaSawa, tatizo liko wapi?
Tatizo lipo kwenye Arab/islam-phobiaSawa, tatizo liko wapi?
Yakuhusu nini were!?Bandari
Kwani wewe unanihusu mpaka nisiongee ninayojisikia?Yakuhusu nini were!?