Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Kila mtu anajua wabunge walinunuliwa na kodi zetu! Ngoja tuone baada ya dirisha kufungwa kama kutakuwa na hama hama! Hamna maana nyie mnapora mpaka mafao ya wastaafu!
 
Watu wasioipenda CCM wanaweza wakatumia fursa hiyo kuwavuruga. Yani watavaa jezi za CCM na kujifanya wafuasi wa Membe then wanaenda kumlaki. Baadaye watakaa pembeni kuangalia mtifuano
Political strategies
 
Leo ni siku ya jumapili tunaweza kuwatembelea watu waliopo mahabusu segerea ni muhimu kuliko hata huyu wa airport!
Kama mahakamani kwa dj walishindwa ndio airport?
Chadrama mcharuko ni njaa tu
 
Mwambie aache woga sasa!
 
Watu wasioipenda CCM wanaweza wakatumia fursa hiyo kuwavuruga. Yani watavaa jezi za CCM na kujifanya wafuasi wa Membe then wanaenda kumlaki. Baadaye watakaa pembeni kuangalia mtifuano

Siyo rahisi wewe
CCM TUNAJITAMBUA
SIO KAMA NYINYI MNAO NINULIWA KILA SIKU KUNADI CHAMA KINGINE
Crazy psychopaths
 
Hii hama hama ya vyama imesababisha mambo haya, wamo wahamiaji wanavuruga na kukoroga mambo maksudi
 
Wakuu kuna mtu mutasababisha akufe kwa puresha, kausheni tusije tukaua mtu kwa pressure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…