Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Hata mwanzoni mlikuwa mnasema ni uzushi ila juzi Bashiru kathibitisha kuwa huko CCM kuna fukuto la Membe kutaka kugombe uraisi 2020.
Huwa tunaanza kwa kubisha kwanza, ndio stail yetu.
 
Mm pia nimesikia kuhusu hii habari
Kutoka ndani sana
Tuipe muda tu ndio mwalimu mzr
 
Membe wewe njoo mzima mzima ngosha kawachosha ndani ya chama na nje ya chama, wanampigia kelel ni wale wanaonufaika na uwepo wake pale mjengoni ila amino nakwambia ukilianzisha mda huu utapokea mapokezi mikubwa ambayo hata lowasa cha mtoto
 
Tetesi
 

Kwa msaada ya POLIccm
 
Leo ni siku ya jumapili tunaweza kuwatembelea watu waliopo mahabusu segerea ni muhimu kuliko hata huyu wa airport!
Kuwatembelea watu magerzan waliofungwa kisa chuki za watawala wa kile chama chenu ni unafki wa hali ya juu zaid
 
Membe tangaza siku unayokuja namie nitatoka huku Porini Minjingu nije kumpokea maana ndio mtu aliyebaki ndani ya chama kumuondoa JIWE.
 
Amini usi Amini....Membe akienda Chadema tutaambiwa anafaa kuliko mtu yeyote yule,duh siasa za hapa bongo zimenichosha kabisa
 
Amini usi Amini....Membe akienda Chadema tutaambiwa anafaa kuliko mtu yeyote yule,duh siasa za hapa bongo zimenichosha kabisa
Me nataka agombee kupitia fisiemu ndo itakuwa[emoji435][emoji435][emoji435]
 
Kwa hiyo unataka kusema wabunge wote wa chadema waliohamia ccm walivutiwa na ndoano...
Nani kaacha ubunge wake? Unaahidiwa kurudishiwa ubunge wako kwa gharama zozote, ikibidi unaahidiwa na uwaziri na mshiko wa kutakata, shtuka wewe
 
CCM itashinda kwa kura nyingi 2020 when Benard C. Membe is their Presidential candidate but sio kwa huyu,ambae hata selection of words ni tatizo kwako,full kuropoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…