Utanikuta hapa Makuyuni mimi ni jamii ya wahazabe natokea Yaeda chini. Twende wote tukampokee Membe..Membe tangaza siku unayokuja namie nitatoka huku Porini Minjingu nije kumpokea maana ndio mtu aliyebaki ndani ya chama kumuondoa JIWE.
Ngoja atangaze hiyo siku nitakustua tuwe pamoja.Utanikuta hapa Makuyuni mimi ni jamii ya wahazabe natokea Yaeda chini. Twende wote tukampokee Membe..
Lowasa na nguvu zake zote zile alishindwa kupata hiyo chance..labda 2025 ila sio 2020 kama vile baadhi ya watu wanavyojifariji hapa ndaniMe nataka agombee kupitia fisiemu ndo itakuwa[emoji435][emoji435][emoji435]
Kamtembeleeni LissuLeo ni siku ya jumapili tunaweza kuwatembelea watu waliopo mahabusu segerea ni muhimu kuliko hata huyu wa airport!
Aisee hii noma sana...![emoji23][emoji23][emoji23]Maana upinzani kuchukua urais ni ndotooo na jiwe nae hakuna mikakati ya kueleweka mpaka anaanza kunyapia pesa za mafao...mishahara hakuna kuongezwa...Lowasa na nguvu zake zote zile alishindwa kupata hiyo chance..labda 2025 ila sio 2020 kama vile baadhi ya watu wanavyojifariji hapa ndani
sema vijana wa Ufipa maana ndio munamushokeaHakika hali ni tete huku CCM
Baada ya kubaini tetesi za uwepo wa vijana wanaojiandaa kujitokeza kumlaki na kumpokea Bernard Membe akitokea nje ya nchi,CCM imeingia kiwewe
Kuna tetesi kuwa Katibu Mwenezi ameingilia kati na kuwaonya vijana au kikundi chochote kitakachomlaki Membe kwa mlengo wa kisiasa.
Membe anahusishwa na mapinduzi ya kumng'oa Magufuli na kuonekana kuungwa mkono ndani na nje ya chama
Membe anatarajiwa kurejea nchini akitokea nje ya nchi kikazi
My Take
Mwenye kifungu cha katiba ya CCM inayozuia kikundi cha watu kumpokea mwanachama airport,atuwekee hapa.
Kuna uwezekano mkubwa upinzani wakachangamkia fursa kama ilivyo kawaida yao...kwa hiyo usije kushangaa 2020 jamaa ndiye akawakilisha upinzaniAisee hii noma sana...![emoji23][emoji23][emoji23]Maana upinzani kuchukua urais ni ndotooo na jiwe nae hakuna mikakati ya kueleweka mpaka anaanza kunyapia pesa za mafao...mishahara hakuna kuongezwa...
Membe hata akiwakilisha upinzani...! hawezi chukua aise...Goli la mkonooKuna uwezekano mkubwa upinzani wakachangamkia fursa kama ilivyo kawaida yao...kwa hiyo usije kushangaa 2020 jamaa ndiye akawakilisha upinzani
Cha kufanya yeye awe mfuvumilivu kwa kipindi hichi hadi 2025 mambo yatakuwa simple kwake...akiendelea kutuma watu wapige kelele za hivi atakuja kufyweka kama ilivyo kuwa kwa ELMembe hata akiwakilisha upinzani...! hawezi chukua aise...Goli la mkonoo
Yaah mkuu na jiwe hana masiharaa kabisaaCha kufanya yeye awe mfuvumilivu kwa kipindi hichi hadi 2025 mambo yatakuwa simple kwake...akiendelea kutuma watu wapige kelele za hivi atakuja kufyweka kama ilivyo kuwa kwa EL
😂😂....unaweza kuta jamaa anafutiwa hata UraiaYaah mkuu na jiwe hana masiharaa kabisaa
[emoji23][emoji23]....unaweza kuta jamaa anafutiwa hata Uraia
Tujikumbushe zile resignation letters zao!!Kwa hiyo unataka kusema wabunge wote wa chadema waliohamia ccm walivutiwa na ndoano...