Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Tetesi: CCM yawaonya watakaomlaki B. Membe uwanja wa ndege akitokea ughaibuni

Mimi kama mwana ccm ninayo haki kikatiba ya chama na ya nchi kumpokea Membe Airport. Membe ana haki sawa na waliopo kwanini muanze kumuogopa?
Tunataka haki ndani ya ccm,tunataka kurudisha heshima ya chama na ya nchi.
CCM ni yetu wote sio ya hao wavamizi tu
 
Me nataka agombee kupitia fisiemu ndo itakuwa[emoji435][emoji435][emoji435]
Lowasa na nguvu zake zote zile alishindwa kupata hiyo chance..labda 2025 ila sio 2020 kama vile baadhi ya watu wanavyojifariji hapa ndani
 
Lowasa na nguvu zake zote zile alishindwa kupata hiyo chance..labda 2025 ila sio 2020 kama vile baadhi ya watu wanavyojifariji hapa ndani
Aisee hii noma sana...![emoji23][emoji23][emoji23]Maana upinzani kuchukua urais ni ndotooo na jiwe nae hakuna mikakati ya kueleweka mpaka anaanza kunyapia pesa za mafao...mishahara hakuna kuongezwa...
 
Hakika hali ni tete huku CCM
Baada ya kubaini tetesi za uwepo wa vijana wanaojiandaa kujitokeza kumlaki na kumpokea Bernard Membe akitokea nje ya nchi,CCM imeingia kiwewe

Kuna tetesi kuwa Katibu Mwenezi ameingilia kati na kuwaonya vijana au kikundi chochote kitakachomlaki Membe kwa mlengo wa kisiasa.

Membe anahusishwa na mapinduzi ya kumng'oa Magufuli na kuonekana kuungwa mkono ndani na nje ya chama

Membe anatarajiwa kurejea nchini akitokea nje ya nchi kikazi

My Take
Mwenye kifungu cha katiba ya CCM inayozuia kikundi cha watu kumpokea mwanachama airport,atuwekee hapa.
sema vijana wa Ufipa maana ndio munamushokea
 
Sijui inakuwaje chama kama CCM kinashindwa kuona jambo dogo kama hili. Kwa sasa Mh. Membe anapaishwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko na nguvu zake mwenyewe na mashabiki wake. CCM should let things go on their natural course.
 
Aisee hii noma sana...![emoji23][emoji23][emoji23]Maana upinzani kuchukua urais ni ndotooo na jiwe nae hakuna mikakati ya kueleweka mpaka anaanza kunyapia pesa za mafao...mishahara hakuna kuongezwa...
Kuna uwezekano mkubwa upinzani wakachangamkia fursa kama ilivyo kawaida yao...kwa hiyo usije kushangaa 2020 jamaa ndiye akawakilisha upinzani
 
Kuna uwezekano mkubwa upinzani wakachangamkia fursa kama ilivyo kawaida yao...kwa hiyo usije kushangaa 2020 jamaa ndiye akawakilisha upinzani
Membe hata akiwakilisha upinzani...! hawezi chukua aise...Goli la mkonoo
 
Vilaza mtapata tabu san**!!kwani 'MEMBE' ndo nani eti??
 
Membe hata akiwakilisha upinzani...! hawezi chukua aise...Goli la mkonoo
Cha kufanya yeye awe mfuvumilivu kwa kipindi hichi hadi 2025 mambo yatakuwa simple kwake...akiendelea kutuma watu wapige kelele za hivi atakuja kufyweka kama ilivyo kuwa kwa EL
 
Cha kufanya yeye awe mfuvumilivu kwa kipindi hichi hadi 2025 mambo yatakuwa simple kwake...akiendelea kutuma watu wapige kelele za hivi atakuja kufyweka kama ilivyo kuwa kwa EL
Yaah mkuu na jiwe hana masiharaa kabisaa
 
Membe for 2020
Viva mwana diplomasia nguli east Africa!
 
Ushahidi : Tandika Mwembe yanga kuna viongozi wanapita wanaorodhesha majina ya vijana watakaopenda kumpokea Mh Membe Airport , wanahakikishiwa usafiri na chakula .

Mwitikio unatisha !
 
Back
Top Bottom