CCM yawapiga marufuku ‘Chawa wa Mama’

Jamani mbona mnatuonea chawa wa mama hivyo acheni matusi, kila mtu ana uhuru wa kuchagua cha kushabikia, sisi ni chawa wa Mama
Sasa chama hakiwataki mnalazimisha nini?
 
Dah!... hatari kweli kweli
 
Wivu tu, hao viongozi wanahofu siku moja nafasi zao zitakuja chukuliwa na chawa wa mama. Maana chawa wa mama wanakuwa popular zaidi, so siku uchaguzi ukitokea chawa wakigombea wataibuka washindi kirahisi. Siasa hizi bwana lazima ulinde nafasi yako.
Umeonaeeee.....
 
Utasikia group linajiita chawa wa mama dar , kilimanjaro Tanga n.k
 
Unaweza simama na Mimi ku argue Kwa kitu kipi hasa? Ukiona maandishi yangu ujue ni facts tupu.

Siwezi ongea propaganda wakati silipwi na yeyote
 
Unaweza simama na Mimi ku argue Kwa kitu kipi hasa? Ukiona maandishi yangu ujue ni facts tupu.

Siwezi ongea propaganda wakati silipwi na yeyote
Ungekuwa huna maslahi na huo mpango usingejiita chawa
 
Ungekuwa huna maslahi na huo mpango usingejiita chawa
Kuna sehemu umewahi niona najiita chawa au nyie nyumbu msio na hoja ndio Huwa mnaniita?

Ndio maana Mimi kuitwa chawa hakukawahi nipa shida Kwa sababu najua nachofanya.
 
Mbona mama mwenyewe aliwasifu, anawapenda.
 
CCM ni chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…