CCM yeteka kwa mabavu ofisi za CHADEMA Rombo

Sa utakuwa mjinga kushindwa kuelewa msimamo ya waliokuzunguka

Misimamo ipi boss, na huo ujinga wangu umeupimaje, naona umeishiwa na hoja sasa unaanza kulazimisha upuuzi wako.
 
Ni swali zuri lakini pia haliondoi ukweli kuwa ofisi ya CHADEMA inafungwa!

Uko sahihi, sasa waambie Tiss waanzishe kile chama ulichosema kitakuwa mbadala wa cdm. Tena mkiona hakipati watu kigaieni kura mnazojipa ccm ili muhadae ulimwengu kwamba Tanzania kuna chama cha upinzani.
 
Kuna ukweli fulani ndani ya angalizo lako!

Ulevi wa madaraka ya urais ndio unaotumika kuhujumu vyama vya upinzani vya ukweli. Hayo mengine yanatajwa kufunika ukweli wa matumizi mabaya ya madaraka ya urais fullstop.
 
Naona movie zimeisha

Hili igizo mlilofanya mkanda wake au CD zitatoka lini?
 
Nyoka anajivua gamba!Mti unapukutisha majani!!Tai anapukutisha manyoya ili yaote mapya!sio kazi rahisi kuna maumivu makali ndani yake!!!
Nadhani angalizo lako nimeshindwa kulielewa! Fafanua zaidi!
 
Nadhani angalizo lako nimeshindwa kulielewa! Fafanua zaidi!
Upinzani uliokuwepo una pukutika ili uzaliwe mwingine,kupukutika kwake kuna maumivu makali ndani!huo upinzani mpya utakaozaliwa utakuwa ni mkali zaidi na hatari zaid kwa wanaoua upinzani wa sasa!Ni bora wangeuacha upinzani ambao ni dhaifu uendelee kuwepo kwa usalama wa chama tawala lakini utakao zaliwa baada ya hapa utasababisha maumivu makali kwa chama tawala!!!!!nadhani umenielewa ndugu!!!
 
Kumbe ni kwa hao walevi wa gongo mpaka wake zao wana import vidume toka nchi jirani,na watu sampuli hii ndiyo mtaji wa ccm
 
Mungu apishe mbali hii kadhia
 
MUTUNGI ATWANGWE BARUA KWA NINI ASIIFUTE CCM KWA HILO?
 
Shetani amewapanda kichwani na huu ni mpango wa Mungu ili kuwapumbaza wakati wakikimbia kwenda kujitupa baharini na uwe mwisho wao.
 
Kama ni kukosa akili basi huu wako ni utapia mlo wa akili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…