CCM yeteka kwa mabavu ofisi za CHADEMA Rombo

CCM yeteka kwa mabavu ofisi za CHADEMA Rombo

Sa utakuwa mjinga kushindwa kuelewa msimamo ya waliokuzunguka

Misimamo ipi boss, na huo ujinga wangu umeupimaje, naona umeishiwa na hoja sasa unaanza kulazimisha upuuzi wako.
 
Ni swali zuri lakini pia haliondoi ukweli kuwa ofisi ya CHADEMA inafungwa!

Uko sahihi, sasa waambie Tiss waanzishe kile chama ulichosema kitakuwa mbadala wa cdm. Tena mkiona hakipati watu kigaieni kura mnazojipa ccm ili muhadae ulimwengu kwamba Tanzania kuna chama cha upinzani.
 
Kuna ukweli fulani ndani ya angalizo lako!

Ulevi wa madaraka ya urais ndio unaotumika kuhujumu vyama vya upinzani vya ukweli. Hayo mengine yanatajwa kufunika ukweli wa matumizi mabaya ya madaraka ya urais fullstop.
 
Naona movie zimeisha

Hili igizo mlilofanya mkanda wake au CD zitatoka lini?
Nimeshangaa kuona baadhi ya Watanzania/wanaCHADEMA wakizifunga ofisi za CHADEMA na kufuta nembo ya maandishi yanayokitambulisha CHADEMA kwenye kuta za nyumba.

Kinaendelea kitu gani nchini mpaka ofisi za CHADEMA zinafungwa na kufutwa maandishi yanayokitambulisha ukutani?

Kilichonishangaza zaidi haya yanatokea katika jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kama ambavyo wahusika wanajitambulisha.

Video ya tukio
View attachment 1267947
 
Nadhani angalizo lako nimeshindwa kulielewa! Fafanua zaidi!
Upinzani uliokuwepo una pukutika ili uzaliwe mwingine,kupukutika kwake kuna maumivu makali ndani!huo upinzani mpya utakaozaliwa utakuwa ni mkali zaidi na hatari zaid kwa wanaoua upinzani wa sasa!Ni bora wangeuacha upinzani ambao ni dhaifu uendelee kuwepo kwa usalama wa chama tawala lakini utakao zaliwa baada ya hapa utasababisha maumivu makali kwa chama tawala!!!!!nadhani umenielewa ndugu!!!
 
Nimeshangaa kuona baadhi ya Watanzania/wanaCHADEMA wakizifunga ofisi za CHADEMA na kufuta nembo ya maandishi yanayokitambulisha CHADEMA kwenye kuta za nyumba.

Kinaendelea kitu gani nchini mpaka ofisi za CHADEMA zinafungwa na kufutwa maandishi yanayokitambulisha ukutani?

Kilichonishangaza zaidi haya yanatokea katika jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kama ambavyo wahusika wanajitambulisha.

Video ya tukio
View attachment 1267947
Kumbe ni kwa hao walevi wa gongo mpaka wake zao wana import vidume toka nchi jirani,na watu sampuli hii ndiyo mtaji wa ccm
 
Waasisi wa CHADEMA walikuwa na maono ya kuwa chama mbadala kwa sera. Baadaye kikavamiwa na magenge ya wapiga deals na watetezi wa mabeberu! Ona sasa ni aibu! Lowassa kawakimbia na hajulikani alipo! Madiwani, wabunge woote nduki. Wamebaki masalia choka mbaya!
Mungu apishe mbali hii kadhia
 
View attachment 1057933

Hii ndio hali ya utawala wa shari, mabavu na wenye kukusudia kuchafua amani ya Tanzania tulivu hata kama ina umasikini na ujinga ila utulivu ulikua kiunganishi kwetu. Lakini cha ajabu umasikini hawajaondoa, ujinga hawajauondoa, wanapamnana kuiondoa CHADEMA kwa shari, kwa vita kwa fujo na ikibidi kuua wanaCHADEMA wote kama sio kuwafunga.

Huko Rombo mkoani Kilimanjaro kundi la vijana wa UVCCM wakiratibiwa na viongozi wao wameamua kuzipoka ofisi za CHADEMA bila woga na kupaka rangi za CCM huku kukiwa na ulinzi, kwamba asiwepo CHADEMA KUSOGEA.

Naona vile CCM wamechoshwa na amani ya nchi hii, na hata haya yanavyotendeka husikii viongozi wakuu wa kiserikali wala kiulinzi wala kichama CCM wakikemea zaidi sana wanayafukizia mafuta ya petrol na kuyaita matendo ya kizalendo.

Taifa linazidi kupasuka pasuka, hii ni hatari ya kesho kwa taifa letu. Siku zozote CCM inapaswa kubeba lawama
MUTUNGI ATWANGWE BARUA KWA NINI ASIIFUTE CCM KWA HILO?
 
Shetani amewapanda kichwani na huu ni mpango wa Mungu ili kuwapumbaza wakati wakikimbia kwenda kujitupa baharini na uwe mwisho wao.
 
Waasisi wa CHADEMA walikuwa na maono ya kuwa chama mbadala kwa sera. Baadaye kikavamiwa na magenge ya wapiga deals na watetezi wa mabeberu! Ona sasa ni aibu! Lowassa kawakimbia na hajulikani alipo! Madiwani, wabunge woote nduki. Wamebaki masalia choka mbaya!
Kama ni kukosa akili basi huu wako ni utapia mlo wa akili!
 
Back
Top Bottom