MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,996
Ni swali zuri lakini pia haliondoi ukweli kuwa ofisi ya CHADEMA inafungwa!Hiyo Office imejengwa na CDM? Au ni nyumba ya mtu na walikodi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni swali zuri lakini pia haliondoi ukweli kuwa ofisi ya CHADEMA inafungwa!Hiyo Office imejengwa na CDM? Au ni nyumba ya mtu na walikodi?
Sa utakuwa mjinga kushindwa kuelewa msimamo ya waliokuzunguka
Kuna ukweli fulani ndani ya angalizo lako!Kifo Cha chadema kilianza rasmi Lowasa alipoingia tu chadema na kupokelewa
Ni swali zuri lakini pia haliondoi ukweli kuwa ofisi ya CHADEMA inafungwa!
Kuna ukweli fulani ndani ya angalizo lako!
Nimeshangaa kuona baadhi ya Watanzania/wanaCHADEMA wakizifunga ofisi za CHADEMA na kufuta nembo ya maandishi yanayokitambulisha CHADEMA kwenye kuta za nyumba.
Kinaendelea kitu gani nchini mpaka ofisi za CHADEMA zinafungwa na kufutwa maandishi yanayokitambulisha ukutani?
Kilichonishangaza zaidi haya yanatokea katika jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kama ambavyo wahusika wanajitambulisha.
Nadhani angalizo lako nimeshindwa kulielewa! Fafanua zaidi!Nyoka anajivua gamba!Mti unapukutisha majani!!Tai anapukutisha manyoya ili yaote mapya!sio kazi rahisi kuna maumivu makali ndani yake!!!
Siasa ni biashara kwa nchi za Afrika!Luzuku zoote zinagongwa na Mbowe na haijulikani hela yoote anaipeleka wapi? Ndo naana hataki kuachia uenyekiti
Upinzani uliokuwepo una pukutika ili uzaliwe mwingine,kupukutika kwake kuna maumivu makali ndani!huo upinzani mpya utakaozaliwa utakuwa ni mkali zaidi na hatari zaid kwa wanaoua upinzani wa sasa!Ni bora wangeuacha upinzani ambao ni dhaifu uendelee kuwepo kwa usalama wa chama tawala lakini utakao zaliwa baada ya hapa utasababisha maumivu makali kwa chama tawala!!!!!nadhani umenielewa ndugu!!!Nadhani angalizo lako nimeshindwa kulielewa! Fafanua zaidi!
Kumbe ni kwa hao walevi wa gongo mpaka wake zao wana import vidume toka nchi jirani,na watu sampuli hii ndiyo mtaji wa ccmNimeshangaa kuona baadhi ya Watanzania/wanaCHADEMA wakizifunga ofisi za CHADEMA na kufuta nembo ya maandishi yanayokitambulisha CHADEMA kwenye kuta za nyumba.
Kinaendelea kitu gani nchini mpaka ofisi za CHADEMA zinafungwa na kufutwa maandishi yanayokitambulisha ukutani?
Kilichonishangaza zaidi haya yanatokea katika jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kama ambavyo wahusika wanajitambulisha.
Maana kama hiyo hiyo niliandikaUna maana gani? Fafanua zaidi!
Chadema inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe
320 million kila mwezi. Sema ukweli tu hizo anakula Mbowe na familia yake nyinyi wengine mnatoka kapa.
Mungu apishe mbali hii kadhiaWaasisi wa CHADEMA walikuwa na maono ya kuwa chama mbadala kwa sera. Baadaye kikavamiwa na magenge ya wapiga deals na watetezi wa mabeberu! Ona sasa ni aibu! Lowassa kawakimbia na hajulikani alipo! Madiwani, wabunge woote nduki. Wamebaki masalia choka mbaya!
MUTUNGI ATWANGWE BARUA KWA NINI ASIIFUTE CCM KWA HILO?View attachment 1057933
Hii ndio hali ya utawala wa shari, mabavu na wenye kukusudia kuchafua amani ya Tanzania tulivu hata kama ina umasikini na ujinga ila utulivu ulikua kiunganishi kwetu. Lakini cha ajabu umasikini hawajaondoa, ujinga hawajauondoa, wanapamnana kuiondoa CHADEMA kwa shari, kwa vita kwa fujo na ikibidi kuua wanaCHADEMA wote kama sio kuwafunga.
Huko Rombo mkoani Kilimanjaro kundi la vijana wa UVCCM wakiratibiwa na viongozi wao wameamua kuzipoka ofisi za CHADEMA bila woga na kupaka rangi za CCM huku kukiwa na ulinzi, kwamba asiwepo CHADEMA KUSOGEA.
Naona vile CCM wamechoshwa na amani ya nchi hii, na hata haya yanavyotendeka husikii viongozi wakuu wa kiserikali wala kiulinzi wala kichama CCM wakikemea zaidi sana wanayafukizia mafuta ya petrol na kuyaita matendo ya kizalendo.
Taifa linazidi kupasuka pasuka, hii ni hatari ya kesho kwa taifa letu. Siku zozote CCM inapaswa kubeba lawama
Kama ni kukosa akili basi huu wako ni utapia mlo wa akili!Waasisi wa CHADEMA walikuwa na maono ya kuwa chama mbadala kwa sera. Baadaye kikavamiwa na magenge ya wapiga deals na watetezi wa mabeberu! Ona sasa ni aibu! Lowassa kawakimbia na hajulikani alipo! Madiwani, wabunge woote nduki. Wamebaki masalia choka mbaya!