CCM Zanzibar yataka urais wa Muungano ugombewe kwa zamu kati ya Tanganyika na Zanzibar

tumechoka na malalamishi yao hao waandamanaji
43million population Tanganyika
1.3million population Zenj bar
wanataka kutushika masikio hao...labda wapokezane na AL SHABAAB huo urais
 
kutokana na uwiano uliopo wa watanganyika 43 kwa mzanzibzr mmoja (43:1), inabidi wazanzibar wasubiri miaka 40 ili kupata rais kutoka visiwani. Hivyo mnamo 2053 ndio walete hili wazo. Na ccm sijui itakuwa wapi kipindi hicho
 
km kisiwa z'bar kitakuwepo!coz baada ya miaka kadhaa kisiwa hicho inasemekana hakitakuwepo!teh teh
 
tumechoka na malalamishi yao hao waandamanaji
43million population Tanganyika
1.3million population Zenj bar
wanataka kutushika masikio hao...labda wapokezane na AL SHABAAB huo urais

Ha ha haaaa au boko haram
 
Hawa kweli wanachekesha watu million moja watawale watu million 45 kazi kwelikweli
 
Uraisi wa ZANZIBARI ndo uvunjwe..
Asimame tu MKUU WA MKOA..kuwakilisha kama mkoa wa visiwani na hapa ndo muungano utaimarika.
Watu M.. tu wawe na RAIS.. ? Katiba mpya ilitizame hili.

Byeeee...!
 
Kamkoa ambacha kanajifanya nchi kinataka kutawala nchi kwa zamu? Mwaka likitokea hilo nitachagua jiwe
 
Urais ni kazi kama kazi nyingine unahitaji vigezo na masharti kuzingatiwa, sasa hii ya kupokezana kama vijiti si tutaongozwa na nazi. Hata hivyo huyu jamaa atakuja na nyingine ya Udini kwamba safari hii Rais ni zamu ya Mkristo. Huenda huyu muasisi wa UAMUSHO
 
kichekesho cha nini kwani watanganyika hamukuambiwa kama muliungana na chi jirani ya Zanzibar? na sheria za kuungano maanake kila kitu kinachohusu muungano ni kugawana sawa sawa kama nchi mbili tofauti mkuu😱hwell:
Mbona kwenye uchangiaji gharama hatutoi sawa?Hebu tujikumbushe;Kila upande umetoa Wajumbe sawa wa Tume ya Marekebisho ya Katiba.Je!Zanzibar imeshiriki kuwalipa?.Kwa mambo kama haya ndio maana Wazanzibar mnaonekana mnacheza ngoma ya kitoto.
 
Rutashubanyuma, GEORGE jinasa, Kiranga, Nguruvi3, Nyani Ngabu, Kitila Mkumbo, Mzee Mwanakijiji, wana JF,

..nimeshangaa CHADEMA na CCM wanakubaliana ktk hoja hii.

..hii dhana ya kupokezana inakwenda kinyume na suala zima la uraia wa MUUNGANO/TANZANIA.

..uraia ni mmoja, hakuna uraia wa Tanzania-Tanganyika, au uraia wa Tanzania-Zanzibar.

..kwa msingi huo, haki raia wa Tanzania ya kuchaguliwa na kuchagua itakuwa inapokwa[?] ikiwa tutaamua kwamba nyakati fulani wananchi wa upande mmoja wa muungano hawawezi kupata haki ya kuchaguliwa kwa misingi ya upande wanapotokea.

..zaidi, kwanini inapendekezwa ktk nafasi ya Uraisi tu, na siyo nafasi nyingine ktk serikali ya muungano kwa mfano:Jaji Mkuu, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Gavana wa BOT, Kamishna mkuu wa TRA, Katibu wa Baraza la mitihani, Mabalozi ktk nchi mbalimbali, etc etc??

cc: Molemo, Pasco, Sikonge, Jasusi, Mikael P Aweda
 
Last edited by a moderator:
Maoni ya watanganyika katika kujadili masuala ya muungano, yana maudhi!!!!!
 
Rutashubanyuma, George Jinasa, Kiranga, Nguruvi3, Nyani Ngabu, Kitila Mkumbo, Mzee Mwanakijiji, wana JF,

..nimeshangaa CHADEMA na CCM wanakubaliana ktk hoja hii.

..hii dhana ya kupokezana inakwenda kinyume na suala zima la uraia wa MUUNGANO/TANZANIA.

..uraia ni mmoja, hakuna uraia wa Tanzania-Tanganyika, au uraia wa Tanzania-Zanzibar.

..kwa msingi huo, haki raia wa Tanzania ya kuchaguliwa na kuchagua itakuwa inapokwa[?] ikiwa tutaamua kwamba nyakati fulani wananchi wa upande mmoja wa muungano hawawezi kupata haki ya kuchaguliwa kwa misingi ya upande wanapotokea.

..zaidi, kwanini inapendekezwa ktk nafasi ya Uraisi tu, na siyo nafasi nyingine ktk serikali ya muungano kwa mfano:Jaji Mkuu, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Gavana wa BOT, Kamishna mkuu wa TRA, Katibu wa Baraza la mitihani, Mabalozi ktk nchi mbalimbali, etc etc??
Mkuu Jokakuu, naiona mantiki yako kabisa. Kwamba, kuna nyakati tunaweza kuwa na kiongozi hovyo kwasababu tu ni wakati wa upande fulani kutoa kiongozi.
Tutawanyima wananchi haki kama raia wa nchi kwasababu tutakuwa na raia wa Tanzania-Tanganyika na Tanzania-Zanibar, ni kituko. Hili bado litakuwa ni tatizo kubwa sana mbele ya safari.

Disappointment yangu kubwa ipo kwa CDM. Nilidhani wao kama chama na watu huru ukilinganisha na CCM wangekuwa makini sana na suala la muungano. Sivyo! na CDM hawaonekani kujua nini wanataka katika muungano. The're everywhere fumbling so as to speak.

CCM tunajua wameshindwa kutatua tatizo la muungano kwa miaka dahari na hivyo chochote kwao kinaweza kuwa sawa as long as masilahi yao yanalindwa.

Chadema nilidhani wangesimama kutetea masilahi ya nchi, wanonekana kutokuwa na mkakati. Nadhani chai ya Ikulu na uteuzi katika tume umewafikisha mahali wanaona haya kusema hii si sahihi.

Katika muungano lazima masilahi ya Tanganyika yalindwe! hakuna muda wa kuwa wafadhili au huruma!
Tunahitaji viongozi hatuhitaji rangi, lafudhi au dini. Kiongozi atoke popote pale kama ana akili timamu, maono, na mipango. Hili la kupokezana litatupatia viongozi viazi na mbatata honestly. Si mnaona hadi sasa! tunasubiri kupoteza miaka mingine tena
 
Nguruvi3,

..mimi ningewaelewa CDM kama wangesema huo ni utaratibu wao ktk chama.

..lakini kusema tuwe na utaratibu wa kupokezana nafasi ya uraisi na kusisitiza suala hilo liwe la KIKATIBU kwa kweli limenishangaza. nasubiri waje hapo watueleze mantiki ya pendekezo hilo ni nini hasa.

..zaidi, utaratibu huo ukiwekwa ktk nafasi ya Uraisi, nini kitazuia usiwekwe ktk nafasi nyingine za uongozi na utawala??

cc: John Mnyika, Nape Nnauye, Dr.W.Slaa, Edwin Mtei, chama, Ritz, Zitto
 
Mkuu Jokakuu, naiona mantiki yako kabisa. Kwamba, kuna nyakati tunaweza kuwa na kiongozi hovyo kwasababu tu ni wakati wa upande fulani kutoa kiongozi.
Tutawanyima wananchi haki kama raia wa nchi kwasababu tutakuwa na raia wa Tanzania-Tanganyika na Tanzania-Zanibar, ni kituko. Hili bado litakuwa ni tatizo kubwa sana mbele ya safari.

Disappointment yangu kubwa ipo kwa CDM. Nilidhani wao kama chama na watu huru ukilinganisha na CCM wangekuwa makini sana na suala la muungano. Sivyo! na CDM hawaonekani kujua nini wanataka katika muungano. The're everywhere fumbling so as to speak.

CCM tunajua wameshindwa kutatua tatizo la muungano kwa miaka dahari na hivyo chochote kwao kinaweza kuwa sawa as long as masilahi yao yanalindwa.

Chadema nilidhani wangesimama kutetea masilahi ya nchi, wanonekana kutokuwa na mkakati. Nadhani chai ya Ikulu na uteuzi katika tume umewafikisha mahali wanaona haya kusema hii si sahihi.

Katika muungano lazima masilahi ya Tanganyika yalindwe! hakuna muda wa kuwa wafadhili au huruma!
Tunahitaji viongozi hatuhitaji rangi, lafudhi au dini. Kiongozi atoke popote pale kama ana akili timamu, maono, na mipango. Hili la kupokezana litatupatia viongozi viazi na mbatata honestly. Si mnaona hadi sasa! tunasubiri kupoteza miaka mingine tena
Nadhani kuna haja ya kukusanya nguvu zetu kuwaambia Chadema kuwa katika hili wamechemsha. Urais wa kupeana zamu utaleta vurugu tu kama ilivyo Lebanon hivi leo. Siwezi ku- imagine, rais wa Tanganyika, nchi yenye jeshi, awe kama waziri mkuu tu, mwenye madaraka sawa na rais wa Zanzibar, kanchi ka watu milioni moja tu u nusu, wakati amiri jeshi anatoka Zanzibar. Haiingii akilini kabisa.

Afadhali huyo rais wa muungano awe ceremonial tu kama kweli wanataka tuwe na marais watatu, asiwe na mamlaka yeyote ndani ya Tanganyika na Zanzibar na tuwe tunamtuma kutuwakilisha kwenye misiba nchi za nje kama wanavyofanya Israel na rais wao. Na kama haiwezekani kabisa kila mtu ashike lwake.

Tanzania bara imebeba mzigo mkubwa sana katika huu muungano na lazima hilo litambulike.
 
Tatizo ni kuwa wakati wazanzibar wanatetea masilahi yao sisi tumeamua kutetea yao na yetu. Ikifika urais wao wanataka zamu, lakini gharama za jeshi linalolinda nchi ni za Tanganyika.

Kuhusu Muungano nadhani Chadema hawana kitu mahususi wamebaki kuimba nyimbo za CCM.

Katika mambo wanayotaka yawe ya muungano labda ni moja tu linaloweza kuwa lina manufaa kwa Tanganyika. Mengine 6 ''wameuza nchi''

Tume ya katiba wazanzibar wamelalamika hadi kupewa nusu ya wajumbe. Mzigo wa tume anaubeba Mtanganyika.

Sasa wanataka urais, kama ulivyosema nchi ya watu milioni 1 tena nusu wakiishi Tanganyika bado wanadai usawa. Kuna usawa gani kwa ratio ya 43:1?

Hakuna suluhu ya kuwaridhisha wazanzibar, kila wakipewa watadai zaidi.

Chadema kama chama cha upinzani hakionekani kuelewa tatizo. Nilidhani wao wengekuwa na weledi mzuri sana kwa kuzingatia kuwa wengi wao ni wanachama hapa na wangeweza kuona aina tofauti za mawazo na ugumu wa suala hili. Wameamua kujiunga na CCM kutetea wasicho na uhakika nacho.

Mimi nilidhani wliposema rais atachaguliwa na mkutano utakaohusisha kundi la watu wachache bila kujali rais atatoka upande gani lilikuwa wazo zuri.

Hili la kupokezana halijafanikiwa Nigeria na kila siku ni matatizo tu, sijui kama CDM wameliangalia. Very dissapointed na msimamo wao kama chama cha upinzani! honestly
 
Hili halitotokea; kanuni ya sasa iko very simple - Rais na Makamu wake hawawezi kutoka upande mmoja wa Muungano. Lakini ingepaswa kuwa Rais na makamo wake wasitoke mkoa mmoja!
 
Nadhani kuna haja ya kukusanya nguvu zetu kuwaambia Chadema kuwa katika hili wamechemsha. Urais wa kupeana zamu utaleta vurugu tu kama ilivyo Lebanon hivi leo. Siwezi ku- imagine, rais wa Tanganyika, nchi yenye jeshi, awe kama waziri mkuu tu, mwenye madaraka sawa na rais wa Zanzibar, kanchi ka watu milioni moja tu u nusu, wakati amiri jeshi anatoka Zanzibar. Haiingii akilini kabisa.

Afadhali huyo rais wa muungano awe ceremonial tu kama kweli wanataka tuwe na marais watatu, asiwe na mamlaka yeyote ndani ya Tanganyika na Zanzibar na tuwe tunamtuma kutuwakilisha kwenye misiba nchi za nje kama wanavyofanya Israel na rais wao. Na kama haiwezekani kabisa kila mtu ashike lwake.

Tanzania bara imebeba mzigo mkubwa sana katika huu muungano na lazima hilo litambulike.
Hili la kupokezena halileti maana hata chembe. Kwa sababu wanachosema CDM ni kwamba sifa moja muhimu wakati wa kumchagua rais ni 'eneo analotoka'! Unless kama wanataka kuifanya nafasi ya urais iwe 'ceremonial' vinginevyo ni tunajiletea matatizo. Unapokezana nini? Ujuzi, maono, or what? Kuna nini cha ziada wananchi watapata kama rais watachagua rais kwa kuangalia eneo analotoka zaidi ya 'kujifurahisha?
 
FJM, Jasusi, Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji,

..I hope tume ya katiba italipuuza pendekezo hilo.

..kwanini wasipendekeze Uraisi tuwe tunapokezana kati ya wanaume na wanawake?

NB:

..halafu CDM hawana support ZNZ na hawatakiwi kabisa huko visiwani.

..labda huo ni ujanja wao wa kutaka kuungwa mkono ZNZ.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni kuwa wakati wazanzibar wanatetea masilahi yao sisi tumeamua kutetea yao na yetu.
Ikifika urais wao wanataka zamu, lakini gharama za jeshi linalolinda nchi ni za Tanganyika.

......
CCM tunajua wameshindwa kutatua tatizo la muungano kwa miaka dahari na hivyo chochote kwao kinaweza kuwa sawa as long as masilahi yao yanalindwa.

Chadema nilidhani wangesimama kutetea masilahi ya nchi, wanonekana kutokuwa na mkakati. Nadhani chai ya Ikulu na uteuzi katika tume umewafikisha mahali wanaona haya kusema hii si sahihi.

Katika muungano lazima masilahi ya Tanganyika yalindwe!
hakuna muda wa kuwa wafadhili au huruma!
Tunahitaji viongozi hatuhitaji rangi, lafudhi au dini. ..... Si mnaona hadi sasa! tunasubiri kupoteza miaka mingine tena

Mkuu Nguruvi3

Unaikumbuka hii thread? link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/334649-tundu-lissu-na-kiini-macho-cha-muungano.html

Kweli unataka masilahi ya Tanganyika yalindwe? yalindwe na nani? Watanganyika wapo?

Unaelewa kuwa kuna mambo ya Muungano na mambo yasiyo ya muungano?

Zanzibar wana serikali yao inayojaribu kama ulivyosema kulinda masilahi ya Zanzibar ndani ya muungano.

Serikali ya Tanganyika iko wapi?

Kama utaipitia hiyo link hapo juu utaelewa kwa nini sisi wengine tunapigia kelele iwepo serikali ya Tanganyika ili watanganyika pia tuweze kutetea masilahi yetu. Ninyi wengine mnasema hakuna umuhimu wa kuwepo watanganyika,utanzania bara wenu umekutosheni.

Wewe na MMJ mnataka serikali moja, taifa moja nchi moja! Vipi utatetea (masilahi) haki za Tanganyika ndani ya muungano kama unadai iliyopo ni nchi moja tu(Tanzania)?

Mwalimu alishasema.
Kwa kweli hata kesho Nchi za Afrika ya Mashariki zikiamua kuungana, na Tanzania ikawa ni mshiriki, naamini kuwa ni rahisi zaidi kushirikisha Tanzania yenye Serikali Mbili - ya Zanzibar na ya Tanganyika - kuliko Tanzania yenye Serikali Mbili, ya Tanzania na ya Zanzibar.Uk 11-12 link Uongozi Wetu Na Hatma Ya Tanzania (by Nyerere)

Bado wadanganyika "tunasubiri kupoteza miaka mingine tena?" by Nguruvi3

Tafakari ndugu, na badili msimamo. Tudai serikali ya Tanganyika kwa mambo ambayo si ya muungano. Mengineyo yatakaa sawa tu.
 
Nonda,

..ndiyo maana wengine tunapendekeza Tanganyika huru, na Zanzibar huru, zitakazokuwa na "muungano wa mkataba"/mashirikiano kupitia East African community.

..EAC ina secretariat ambayo inaongozwa na Katibu Mkuu, ambaye anapatikana kwa utaratibu wa kupokezana member states.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom