Namwona Dr. Nyambura Moremi (PhD) akila shavu CDC muda sio mrefu! Naona njia ikisafishwa kwa ajili yake.Dada,unajua "merits" za kufanya kazi CDC!!?
Unaijua CDC!?
Wewe endeleza ujinga wako huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakapopimwa halafu uambiwe una Corona wakati huna ndio utajua Nao jamaa wanatoa tamko hili ili wapige hela za WaadhiliMzee Kinje wa kule Chato alikuwa anadhania kila mtu ni zwazwa. Alikuwa anaropoka ropoka tu. Ngoja wataalamu wamfyatue tu.
Dada,unajua "merits" za kufanya kazi CDC!!?
Unaijua CDC!?
Wewe endeleza ujinga wako huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio sababu sisi tukaitwa waafrika, akili zetu zina matatizo sana. Magufuli alitoa shutuma na kutaja kila mnyama na matunda aliyotumia, nilitegemea huyu jamaa kutuma "delegation" au kuagiza hizo "Sample" zitumwe katika nchi mbalimbali ili kuthibitisha hili analosema Magufuli, badala yake yuko huko Geneva anatoa "statements" bila hata kujiridhisha. Hovyo sana sisi waafrica".Taasisi la kisayansi la juu kabisa Africa, yaani Africa CDC (centre for disease control) limepinga kabisa madai ya rais wa Tanzania kuwa test kits za Corona Virus zinatoa matokeo mbovu. Ikumbukwe rais Magufuli hakuprovide any evidence to back up his wild claims.
Africa disease control body rejects Tanzania assertion that coronavirus tests are faulty
(Reuters) - The head of the Africa Centres for Disease Control and Prevention (Africa CDC) on Thursday rejected an assertion by Tanzania’s president that his nation’s coronavirus tests are faulty and are giving too many false positives.
“The tests that Tanzania is using we know they are working very well,” Dr. John Nkengasong told journalists on a conference call.
The Africa CDC, along with the Jack Ma Foundation, a charity run by a Chinese billionaire, supplied the tests, Nkengasong said.
Umeingia chaka,anasema shutuma za JPM sio za kweli dhidi ya vifaa hivyo!Nkengasong sio beberu huyo ni mkikuyu wa kenya
Nina mashine hapa ya kupima sukari,majuzi nilijaribu kuweka maji badala ya damu!Nikashangaa inatoa reading,nikajiuliza ina maana maji yana glucose?Yalikuwa majo ya bomba!Baada ya tafakuri kubwa nikagundua mimi ndiye mjinga!Kwahiyo papai lina Corona?
Wala sio vigumu kumuelewa,anapenda sana sifa mpaka anaishia kutuhumu tu bila ushahidi!Mara vifaa vibovu,mara watumishi wa maabara wanamuhujumu kwa kutumika na mabeberu,yaani no tuhuma tu,shame!Huyu kibaraka wa mabeberu hajui hata anapinga nini,JPM hakusema moja kwa moja. Kuwa vipimo vina madhaifu na kama ukisikiliza hotuba yake utatambua hili,yeye alisema huenda wataalamu wetu.wana.madhaifu au vipimo
Hivyo aliwataka wataalamu wa afya kamu huyu beberu mweusi ndani ya ngonzi nyeupe wafanye utafiti watuambie madhaifu yako wapi na sio kupinga maana JPM hakuhitimisha kuwa vipimo ni kweli vina madhaifu
Kumuelewa JPM ni kazi ngumu sana hasa ikiwa mtu wa kukurupuka kama huyu beberu mweusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Weweee!!Mzee Kinje wa kule Chato alikuwa anadhania kila mtu ni zwazwa. Alikuwa anaropoka ropoka tu. Ngoja wataalamu wamfyatue tu.
Kwa kifupi je unataka kusemaje?Nina mashine hapa ya kupima sukari,majuzi nilijaribu kuweka maji badala ya damu!Nikashangaa inatoa reading,nikajiuliza ina maana maji yana glucose?Yalikuwa majo ya bomba!Baada ya tafakuri kubwa nikagundua mimi ndiye mjinga!
Are you sure the samples were positive? Did you see the results?Ndio sababu sisi tukaitwa waafrika, akili zetu zina matatizo sana. Magufuli alitoa shutuma na kutaja kila mnyama na matunda aliyotumia, nilitegemea huyu jamaa kutuma "delegation" au kuagiza hizo "Sample" zitumwe katika nchi mbalimbali ili kuthibitisha hili analosema Magufuli, badala yake yuko huko Geneva anatoa "statements" bila hata kujiridhisha. Hovyo sana sisi waafrica".
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli kaorodhesha mambo mengi moja ni ujuma au uzembe au elimu au vifaa duni sasa wewe unasemaje kaumbukaDuh! Nilijua tu hili sakata we would be the losers! Hii nchi inaonesha ya vilaza kweli kweli; kila kitu politics badala ya kuzingatia utaalamu.