CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

Mzee Kinje wa kule Chato alikuwa anadhania kila mtu ni zwazwa. Alikuwa anaropoka ropoka tu. Ngoja wataalamu wamfyatue tu.
Utakapopimwa halafu uambiwe una Corona wakati huna ndio utajua Nao jamaa wanatoa tamko hili ili wapige hela za Waadhili
 
Mzee baba hawezi kukubali wanachoongea wengine, ameshasema yy ukimshauri ndo unaharibu kabisa, waachane nae , sasa hivi yeye ameshaamua litakalo kua na liwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unauhaba wa madada? Haiwezekani. Kila mtu kwako ni Dada

Twende kwenye hoja,narudia kusema kuwa JPM hakusema kuwa vipimo vina madhaifu Bali alitoa hoja mbili eidha vipimo au wataalamu wetu wana madhaifu hivyo ndo maana wakuu wa kitengo cha maabara wamesimamishwa ili kupisha uchunguzi ambao utasaidia kujua ikiwa matatizo yako kwa vipimo au kwa wataalamu wetu

Sasa hoja ya huyu beberu mweusi kupinga bila kuja na hoja kwanini papai lionekane linakorona yeye analeta blah blah tu

Mkuu amka usilale
Dada,unajua "merits" za kufanya kazi CDC!!?
Unaijua CDC!?
Wewe endeleza ujinga wako huko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taasisi la kisayansi la juu kabisa Africa, yaani Africa CDC (centre for disease control) limepinga kabisa madai ya rais wa Tanzania kuwa test kits za Corona Virus zinatoa matokeo mbovu. Ikumbukwe rais Magufuli hakuprovide any evidence to back up his wild claims.

Africa disease control body rejects Tanzania assertion that coronavirus tests are faulty

(Reuters) - The head of the Africa Centres for Disease Control and Prevention (Africa CDC) on Thursday rejected an assertion by Tanzania’s president that his nation’s coronavirus tests are faulty and are giving too many false positives.

“The tests that Tanzania is using we know they are working very well,” Dr. John Nkengasong told journalists on a conference call.

The Africa CDC, along with the Jack Ma Foundation, a charity run by a Chinese billionaire, supplied the tests, Nkengasong said.
Ndio sababu sisi tukaitwa waafrika, akili zetu zina matatizo sana. Magufuli alitoa shutuma na kutaja kila mnyama na matunda aliyotumia, nilitegemea huyu jamaa kutuma "delegation" au kuagiza hizo "Sample" zitumwe katika nchi mbalimbali ili kuthibitisha hili analosema Magufuli, badala yake yuko huko Geneva anatoa "statements" bila hata kujiridhisha. Hovyo sana sisi waafrica".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo tatizo lilikuwa wapi?
1. Wataalam walikuwa wanasoma vibaya au hawajui kusoma matokeo ktk vipimo
2. ni makusudi wamechoka kufanya kazi?
3. je hayo matunda ni kweli yana CORONA? kwa vipimo vyao vya huko nje
 
Watanzania tunadharirika kimataifa kwa sababu ya ujinga wa CCM
 
Huyu kibaraka wa mabeberu hajui hata anapinga nini,JPM hakusema moja kwa moja. Kuwa vipimo vina madhaifu na kama ukisikiliza hotuba yake utatambua hili,yeye alisema huenda wataalamu wetu.wana.madhaifu au vipimo

Hivyo aliwataka wataalamu wa afya kamu huyu beberu mweusi ndani ya ngonzi nyeupe wafanye utafiti watuambie madhaifu yako wapi na sio kupinga maana JPM hakuhitimisha kuwa vipimo ni kweli vina madhaifu

Kumuelewa JPM ni kazi ngumu sana hasa ikiwa mtu wa kukurupuka kama huyu beberu mweusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio vigumu kumuelewa,anapenda sana sifa mpaka anaishia kutuhumu tu bila ushahidi!Mara vifaa vibovu,mara watumishi wa maabara wanamuhujumu kwa kutumika na mabeberu,yaani no tuhuma tu,shame!
Yaani ukimsikiliza utafikiri maabara ya taifa iko chini ya mabeberu na si wizara ya afya!
 
Nina mashine hapa ya kupima sukari,majuzi nilijaribu kuweka maji badala ya damu!Nikashangaa inatoa reading,nikajiuliza ina maana maji yana glucose?Yalikuwa majo ya bomba!Baada ya tafakuri kubwa nikagundua mimi ndiye mjinga!
Kwa kifupi je unataka kusemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio sababu sisi tukaitwa waafrika, akili zetu zina matatizo sana. Magufuli alitoa shutuma na kutaja kila mnyama na matunda aliyotumia, nilitegemea huyu jamaa kutuma "delegation" au kuagiza hizo "Sample" zitumwe katika nchi mbalimbali ili kuthibitisha hili analosema Magufuli, badala yake yuko huko Geneva anatoa "statements" bila hata kujiridhisha. Hovyo sana sisi waafrica".

Sent using Jamii Forums mobile app
Are you sure the samples were positive? Did you see the results?
 
ADDIS ABABA (Reuters) - The head of the Africa Centres for Disease Control and Prevention (Africa CDC) on Thursday rejected an assertion by Tanzania’s president that his nation’s coronavirus tests are faulty.

hawa nao wanatumiwa na Mabeberu
 
Duh! Nilijua tu hili sakata we would be the losers! Hii nchi inaonesha ya vilaza kweli kweli; kila kitu politics badala ya kuzingatia utaalamu.
Magufuli kaorodhesha mambo mengi moja ni ujuma au uzembe au elimu au vifaa duni sasa wewe unasemaje kaumbuka

Send by APOLO 1
 
Back
Top Bottom