CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

Sasa matokeo ya Tanzania ya upimaji wa mbuzi, kwale, kondoo, mapapai na mafenesi watayapeleka wapi?
 
Hili jamaa la Africa CDC bonge la dunderhead!

Unajuaje hakuna manufacturing defect ???

Hata ukinunua gari jipya Japan, zero mileage, halafu ukawapigia simu baada ya wiki mbili kwamba gari lenu bovu, hawawezi kukubishia "hilo gari ni zima!!!!

Wakati wewe consumer ndio unacho chombo mkononi na una experience chombo kibovu!
Yaani washindwe kulalamika wataalam wa laboratory waje walalamike wanasiasa, hii imekaaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya madai mazito ya kutoka Chato, bila ya wanaLumumba na serikali kufahamu kuwa ni suala mtambuka na wadau wengi watengenezaji vifaa, Laboratory societies, CDC, WHO, Bill Gates Foundation, African Union, World Bank, IMF n.k watataka kuelewa ukweli kiSayansi.
 
Huyo atapingaje matokeo ya experiment bila yeye kufanya experiment?
Hata Europe nchi kibao zimeshagundua hizo test kits kuwa nyingi ni feki.
Magu yuko sahihi kwenye hili
Ulaya wanalalamikia Rapid test kits, sio laboratory test kits.

Hizi za kwetu ni lab test kits, hakuna mtu duniani anayezilalamikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nkengasong sio beberu huyo ni mkikuyu wa kenya
Huyu Nkengasong in Mkameruuni:

A veteran of more than 20 years at the U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC), Cameroon-born Dr. John Nkengasong was appointed director of the newly created Africa CDC in early 2017. Previously, Nkengasong served as acting deputy principal director for the CDC's Center for Global Health in Atlanta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Nkengasong in Mkameruuni:

A veteran of more than 20 years at the U.S. Centers for Disease Control and Prevention (CDC), Cameroon-born Dr. John Nkengasong was appointed director of the newly created Africa CDC in early 2017. Previously, Nkengasong served as acting deputy principal director for the CDC's Center for Global Health in Atlanta

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu kwa ufafanuzi
 
... zingatieni utaalamu acheni kujitoa ufahamu. Anyway, tusubiri ile tume ya maprofesa tuone itakuja na ripoti ya aina gani. Kwa mbaali naanza kuona ripoti ikichanwachanwa vipande tena kimya kimya.
Mark my words ile tume itachikichia na hutakuja kusikia ripoti usijekushangaa wakaambiwa watudishe per diem,maana tushapigwa TKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu ambacho hatujui Ni kuwa ile machine ya PCR haiko tu kwa kupima corona,,ipogo kabla ya corona haijaja

Testing kit za korona na reagent zake ndizo zilizokuja baada ya ujio wa corona
Iliyotumika kupima mapapai ni ipi
Aliyotoa Jack Ma ni nini
 
Back
Top Bottom