CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

Punguzeni ujinga..sina chama lakini haakuna Rais makini Afrika hii kama JPM, tumieni akili zenu kufikiri badala ya kubeba maneno ya washenzi walio karibisha mkono wa mkaburu ndani yao

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
mkuu nakuona kama unabweka tu. weka facts umakini upi wa JPM kuliko Rais yeyote Afrika. Sina uhakika na marais wengine ila ushahidi wa JPM kukosa umakini kwa kiasi kikubwa umejidhihirisha kwenye kipindi cha Corona. Hili sihitaji kusimuliwa na mtu yeyote. Halafu hiyo kauli ya kwamba huna chama kuna mtu kakuuliza humu. We ni CCM tu acha kujishtukia
 
View attachment 1442908

Bodi imekataa madai hayo kuwa si ya kweli na hayana msingi wowote.

My Take
Hii ni aibu tunavuna baada ya Rais kukimbilia kwenye media wakati wangeweza kufanya consultation na wataalamu wakajiridhisha na kuja na hitimisho lisilo na shaka. Kwenye orodha ya wanaopata aibu mnitoe

Mkuu kwenye orodha ya aibu hatukutoi, hiki ni kipindi cha kushikamana kama taifa, in jiwe's voice.
 
kwa Covid 19, ni lazima iwe ni kwenye chumba chenye ubaridi na negative pressure. Sasa hao mbuzi na mafenesi, sijui walichukuliwa samples kwenye mazingira gani, na sijui kama Rais aliwapelekea reagents

Kwenye TV kila siku wanaonyesha
ALJAZEERA, BBC, CNN, magari yanasimamishwa barabarani Ulaya, China, USA wanachukua samples za midomoni kwenye vioo vya magari. Pale ni baridi kali na negative pressure?

Na unajuaje chemists wa Magufuli hawakuwa na protocol-specified PCR reagents? Unadhani walitia mapapai kwenye maji wakapeleka ???

Kawaida samples zinakusanywa hospitali zinapelekwa national lab. Mahospitalini hakuna wauguzi wa Usalama wanaojua kukusanya na kupenyeza samples za mbuzi? Labda huwajui, wapo, na wengine sio undercover, wanafanya kazi opely hospitali za Usalama, Ikulu, jeshini nk. nk.

Idara zote hizi wanapeleka sample za watu wao nyeti maabara constantly, kwa majina ya siri, sasa wanakosaje PCR reagents au wauguzi wanaojua what the hell they are doing????? LUGALO watakosa RNA stabilizer, nani atakuwa nayo????
 
Punguzeni ujinga..sina chama lakini haakuna Rais makini Afrika hii kama JPM, tumieni akili zenu kufikiri badala ya kubeba maneno ya washenzi walio karibisha mkono wa mkaburu ndani yao

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature

Kwani ukisema huna chama ndio hatutajua unamtetea huyo incompetent?
 
Wendawazimu tu hao kwani wao ndio walivipokea hivyo vifaa? Wanavijuaaje kama bora au la? Wajinga hao

Watu wenye akili wanajua tuko chini ya wajinga wenye madaraka. Usille mapapai na mbuzi maana Wana Corona. Huu ujinga wa jiwe una nguvu kwa wanaccm tu.
 
Punguzeni ujinga..sina chama lakini haakuna Rais makini Afrika hii kama JPM, tumieni akili zenu kufikiri badala ya kubeba maneno ya washenzi walio karibisha mkono wa mkaburu ndani yao

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Umakini wenyewe ni upi?

Huu wa kusema tumieni nyungu inatibu korona?

Au huu wa kuwa-encourage watu waendelee kujazana kwenye nyumba za ibada na kwamba huko corona haiwezi kupita?

Unazungumzia umakini gani hasa?!

Au kutumia sample za oil ambazo hazina hata DNA kwenye vipimo vya ku-detect virus ndo umakini wenyewe?

Umakini upi hasa?! Au ule wa kusema hawezi kufunga viwanja vya ndege kwa sababu ataathiri utalii wakati watalii wenyewe ndo kwanza huko kwao viwanja vilikuwa vinafungwa, na matokeo yake licha ya kuacha viwanja wazi lakini hakuna mtalii aliyeingia!!
 
Tanzania tumeonekana mabwege mbele ya dunia nzima, hata WHO wametukana, East Africa wametukana, bado hatuoni tu aibu? Kofuri kwa kweli inabidi apimwe kweli kama kichwani yuko sawa, mtu gani hajifunzi jamani!!!
 
ADDIS ABABA (Reuters) - The head of the Africa Centres for Disease Control and Prevention (Africa CDC) on Thursday rejected an assertion by Tanzania’s president that his nation’s coronavirus tests are faulty.

On Sunday, Tanzanian President John Magufuli said the imported coronavirus test kits were faulty after they had returned positive results on a goat and a pawpaw. The next day, the head of the national health laboratory in charge of testing was suspended.

“The tests that Tanzania is using we know they are working very well,” Dr. John Nkengasong told journalists on a conference call.

The Africa CDC, along with the Jack Ma Foundation, a charity run by a Chinese billionaire, supplied the tests, Nkengasong said.

The Tanzanian Health Ministry and government spokesman could not immediately be reached for comment.

Tanzania, where places of worship remain open, has at least 480 confirmed cases and 18 deaths, the fourth highest case load in Eastern Africa. But the data is from Sunday, the most recent day the government released figures.

Almost all other African nations release daily reports on the latest tallies on infections, fatalities and recoveries. Tanzania’s lag has prompted criticism from the country’s opposition that the government is being secretive.

View attachment 1442525
John Nkengasong, Director of the Africa Centres for Disease Control and Prevention attends a news conference on the Africa Centres for Disease Control and Prevention Ebola Response in the Democratic Republic of the Congo (DRC) at the United Nations in Geneva, Switzerland, May 22, 2018.

Mwanaume mmoja mkazi wa Mombasa nchini Kenya anayejishughulisha na udereva wa malori yanayosafirisha mizigo kutoka nchi moja kwenda nyingine (transit), amenusurika kupelekwa ‘karantini’ kwa lazima, baada ya kushukiwa kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, mwanaume huyo alikuwa safarini akipeleka mzigo jijini Kampala, Uganda lakini baada ya kufika kwenye mpaka wa nchi hizo mbili, alilazimishwa kupimwa virusi vya Corona na maafisa wa afya pamoja na askari waliopo mpakani hapo na majibu yalipotoka, alidaiwa kuwa na maambukizi.

“Ilibidi arudishwe chini ya escort ya polisi mpaka Mombasa kwa lengo la kwenda kumuweka karantini kwa lazima,” kilieleza chanzo chetu.

Baada ya kufika Mombasa na taratibu za kutaka kumpeleka karantini kuanza, mwanaume huyo aligoma na kutaka kwanza apimwe tena akitumia maelezo ya Rais Dokta John Pombe Magufuli kwamba watu wengine wanapelekwa karantini kutokana na majibu ya vipimo kukosewa.

“Alipaza sauti akisema hawezi kukubali kupelekwa karantini kwa sababu amemsikia Rais wa Tanzania, Dk. Magufuli akisema kwamba baadhi ya mashine huwa zinatoa majibu ya uongo. Alipomtaja Rais Magufuli, ikabidi wale maafisa wa afya wakubali kumpima tena.

“Ajabu ni kwamba majibu yalipotoka, alikutwa akiwa negative kwa maana ya kwamba hana maambukizi, kila mtu akapigwa na butwaa akiwa ni kama haamini. Ikabidi akapimwe tena kwenye mashine nyingine, bado majibu yakawa ni yaleyale, ikabidi wamuachie.

“Aliporudi mtaani, alisikika akishangilia kwa nguvu na kulitaja jina la Rais Magufuli kwamba amewafumbua macho watu wengi kutokana na ubovu wa vipimo vya Corona na kumshukuru sana kwa kumuokoa kupelekwa karantini kimakosa,” kilihitimisha chanzo chetu.
Na Mwandishi Wetu
Magufuli Amuokoa Dereva Wa Lori Asipelekwe ‘Karantini’
 
Punguzeni ujinga..sina chama lakini haakuna Rais makini Afrika hii kama JPM, tumieni akili zenu kufikiri badala ya kubeba maneno ya washenzi walio karibisha mkono wa mkaburu ndani yao

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Kwa hiyo na wewe na akili unazojinadi nazo unaamini Corona ya Mafenesi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan watanzania bhana, ulitegemea kila nchi au chombo kitasupport hii issue??...kumbuka Ethiopia ndo alikuwa supplier wa hivi vifaa, unategea atakubali kuchafuliwa kuwa alikuwa supplier wa vifaa fake?, reputation yake ingekuwa destroyed, assume ndo ingekuwa MSD ndo amepata hii tenda ya kussuply unafikiri angekubali tu achafuliwe??.

Kuna baadhi ya vitu sio vya kushangilia, hili sio la JPM bali ni la kwetu wote, Nchi nyingi zimelalamikia hili swala la vifaa ila kwa Tanzania ndo imekuwa Nchi ya kwanza Afrika kutoka hadharan na kusema ukweli huu ili wananchi wake wapate kuelewa na kupata ahueni.

JPM amefanya hichi kwa ajili yetu na familia zetu, kuna vitu vya kushangilia na kumdhihaki ila kwa hili HAPANA.




Sent from my iPhone using JamiiForums
Mjinga mwenzake!
 
Punguzeni ujinga..sina chama lakini haakuna Rais makini Afrika hii kama JPM, tumieni akili zenu kufikiri badala ya kubeba maneno ya washenzi walio karibisha mkono wa mkaburu ndani yao

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Unasema huna chama kwa sababu una chama.
 
Back
Top Bottom