Jeshi linachukua nchi lini wewe muota ndoto za Abunuwasi?Hawezi kukuelewa huyu mbuzi. Ni mnufaika wa Ufisadi na kazi kubwa anayofanya humu ni kurudisha nyuma morali ya watu kupigania mabadiliko.
Achana nae. Ni lijinga fulani hivi.
Wakuu tuwe watu wa shukrani hata tu kwa hii support aliyoionyesha siyo kitoto .Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba.
Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi.
Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi.
Dunia inajua, Watanzania tunajua, Samia na CCM hawana legitimacy yeyote kuendelea kuwaongoza Watanzania.
Kama vyovyote vile CDF Mkunda amekuwa compromised na Mafisadi najua mnajua cha kumfanya.
CDF wa Madagascar nae alikuwa compromised hivyo hivyo akajaribu kuwageuka Wananchi baada ya Rais Rajelina kumteua kuwa Waziri wa Ulinzi ila Wanajeshi wa Madagascar wakamuonesha Jeshi ni la Wananchi na wakampiga chini na kuchukua Nchi.
Muwekeni pembeni CDF Mkunda na ichukueni Nchi kama walivyofanya wenzenu wa Madagascar.
Huyu CDF ni mpumbavu, nimesoma naye shule moja akiwa Form V na mimi Form VI, hakuna jitu jinga kama hili, hajiamini, hana confidence hata kidogo......ni mjinga mjinga. Huyu ni fisadi aliyewekwa na Kikwete kwa maslahi yao na Samia, huyu Nkunda hafai na sielewi alipandaje cheo kufika hapo alipo. Hana huruma na watanzania anawalinda mafisadi kwa sababu ananufaika nao. Huyu John Jacob Nkunda ni wa ovyo mno......Mpindueni wanajeshi wetu, hafai kuwa CDF wetu, WATU WANAUAWA NA UVCCM (Janjaweed) haoni hilo, yeye anaona wahalifu ni wale wanaoandama na wasio na silaha wakati JANJAWEED (UVCCM) wana bunduki za kisasa....Machine guns kama AK-47, Galil ARM na AK-74. Wanatuua kwa hiyo ndugu zangu watanzania tusinyamaze watuuwe tu. HAPANA TUPIGANE HADI MWISHO WASALIMU AMRI NA SAMIA AONDOKE ATUACHIE NCHI YETU.He is not one of us , huyu nae asalimiwe mapema sanaa na WANAJESHI wetu watiifu then waichukue nchi, before it's too late
Ndiyo mnajua leo au leo mmesema tu?He is not one of us , huyu nae asalimiwe mapema sanaa na WANAJESHI wetu watiifu then waichukue nchi, before it's too late
uko upande Gani mkuu?, maana naona unagubu na Kila habari?au maandamano yamegusa maslahi yako?Ndiyo mnajua leo au leo mmesema tu?
Wow!Huyu CDF ni mpumbavu, nimesoma naye shule moja akiwa Form V na mimi Form VI, hakuna jitu jinga kama hili, hajiamini, hana confidence hata kidogo......ni mjinga mjinga. Huyu ni fisadi aliyewekwa na Kikwete kwa maslahi yao na Samia, huyu Nkunda hafai na sielewi alipandaje cheo kufika hapo alipo. Hana huruma na watanzania anawalinda mafisadi kwa sababu ananufaika nao. Huyu John Jacob Nkunda ni wa ovyo mno......Mpindueni wanajeshi wetu, hafai kuwa CDF wetu, WATU WANAUAWA NA UVCCM (Janjaweed) haoni hilo, yeye anaona wahalifu ni wale wanaoandama na wasio na silaha wakati JANJAWEED (UVCCM) wana bunduki za kisasa....Machine guns kama AK-47, Galil ARM na AK-74. Wanatuua kwa hiyo ndugu zangu watanzania tusinyamaze watuuwe tu. HAPANA TUPIGANE HADI MWISHO WASALIMU AMRI NA SAMIA AONDOKE ATUACHIE NCHI YETU.
Ni mpumbavu na mpenda anasa, na Hilo liko wazi, ndio maana walimteua !Wow!
Sijawahi kabisa kuwa impressed na ‘intellect’ yake 😂.
Sorry to say, but, he’s kinda dumb.
He is dumb as a bag of rocks.Ni mpumbavu na mpenda anasa, na Hilo liko wazi, ndio maana walimteua !
Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba.
Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi.
Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi.
Dunia inajua, Watanzania tunajua, Samia na CCM hawana legitimacy yeyote kuendelea kuwaongoza Watanzania.
Kama vyovyote vile CDF Mkunda amekuwa compromised na Mafisadi najua mnajua cha kumfanya.
CDF wa Madagascar nae alikuwa compromised hivyo hivyo akajaribu kuwageuka Wananchi baada ya Rais Rajelina kumteua kuwa Waziri wa Ulinzi ila Wanajeshi wa Madagascar wakamuonesha Jeshi ni la Wananchi na wakampiga chini na kuchukua Nchi.
Muwekeni pembeni CDF Mkunda na ichukueni Nchi kama walivyofanya wenzenu wa Madagascar.
Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
Katibu mkuu ni mtu aliye karibu sana na aliyekuwa afisa ubalozi ktk ubalozi wa Tanzania nchini Brazil ambaye sasa ni mkurugenzi mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Bw. Suleiman Mombo.Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.
| .PICHA TOKA MAKTABA : |
|
|
| Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais |
Unauliza maswali uelewe au una shida ya kunipaka matope tu?uko upande Gani mkuu?, maana naona unagubu na Kila habari?au maandamano yamegusa maslahi yako?
JWTZ hamna kitu kabisa.USIKU HUU BARAKA LA KIJESHI JUNTA CHINI YA UONGOZI WA CDF JENERALI MKUNDA UMECHUKUA NCHINI ??
Tangazo lile halikurejea katiba utii kwa amiri jeshi mkuu.
Asubuhi kesho 31 October 2025 tutajua kama Baraza la Kijeshi litaongoza nchi kwa muda gani
Sawaa sasa je, kiwa wananchi tutashindwa ,suluhisho ni lipi?Unauliza maswali uelewe au una shida ya kunipaka matope tu?
"Kila habari" hata kuziona sizioni, nitakuwa na gubu vipi?
Mimi nikikuelezea upande wangu, kwa wengi, si rahisi kunielewa kwa sababu nina tabia ya kutokaa kwenye viboksi vyenu vya kuwaweka watu kirahisi.
I am not a simpleton, I defy simple categories.
I am nuanced.
Sipendi utawala wa kifisadi wa CCM na pia sipendi utawala wa kijeshi.
Najua wananchi wanaweza kuutoa utawala wa kifisadi wa CCM bila ya kuhitaji kuweka utawala wa kijeshi.
Bangladesh walishafanya hivyo walipomtoa Sheikh Hasina August 5 2024, wakamuweka Muhammad Yunus Aigust 8 2024.
Iliwachukua siku tatu tu kuweka serikali ya mpito ya kiraia.
Hawakuhitaji jeshi, wanaujua utawala wa kijeshi na matatizo yake. Wamekuwa na mapinduzi ya kijeshi na majaribio ya mapinduzi ya kijeshi mara 29 tangu 1975.
Kwa hivyo mimi nataka CCM waondolewe, lakini sitaki utawala wa kijeshi.
Kwa mtu anayetaka kuiondoa CCM kwa sababu ya ukandamizaji, kukosa uhuru, kukosa demokrasia, kutaka kuweka utawala wa kijeshi ni ujinga.
Ni contradiction.
Ushaelewa niko upande gani sasa?
Mchim i mtoto wa KikweteUSIKU HUU BARAKA LA KIJESHI JUNTA CHINI YA UONGOZI WA CDF JENERALI MKUNDA UMECHUKUA NCHINI ??
Tangazo lile halikurejea katiba utii kwa amiri jeshi mkuu.
Asubuhi kesho 31 October 2025 tutajua kama Baraza la Kijeshi litaongoza nchi kwa muda gani huku katiba mpya, serikali ya mpito ya kijeshi
Vyombo kama Jeshi la Polisi, Uhamiaji, Usalama wa Taifa haviwezi tena kuaminiwa na Junta.
Hivyo safu za Idara ya Usalama, Jeshi la Polisi kupanguliwa kuundwa upya, wale wanaobakia ambao hawajachafuka sana watakwenda kupigwa msasa ili vyombo hivi visiweze tena kutumika na viongozi wa serikali yoyote itakayokuja baada ya Baraza la Kijeshi kuiweka nchi sawa.