JWTZ / TPDF ILIVYOSHIRIKI KUWEZESHA AMANI KWA MAJESHI YA SADC KUONDOKA CONGOkidiplomasia, kiusalama na kiulinzi n.k
Wahuni wachache katika serikali hii ya CCM hawawezi kuwazidi akili Baraza la Kijeshi ' Junta '
TPDF imetumwa operesheni nyingi nje ya mipaka ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kama DR Congo, Ushelisheli, Comoros, Mozambique, Zimbabwe halafu wakubali wahuni ndani ya Tanzania wawatumie kuumiza raia waTanzania hilo haliwezekani kwa mujibu wa dhima ya kuanzisha JWTZ kutoka jeshi malkia la kikoloni la Tanganyika Rifles King's African Rifle KRA,
TOKA MAKTABA:
TPDF / JWTZ ILIPOLETA AMANI MASHARIKI YA CONGO KWA NJIA YA KUKAA MEZANI
JWTZ / TPDF ILIVYOSHIRIKI KUWEZESHA AMANI KWA MAJESHI YA SADC KUONDOKA CONGO
View: https://m.youtube.com/watch?v=8CaXVcTyRJg
View attachment 3483310
Tanzania’s Major General Ibrahim Michael Mhona and Alliance fleuve Congo AFC military commander Major General Sultani Makenga sign the agreement on SADC troops’ withdraw, on Friday, March 28, 2025 during their meeting at Serena Hotel, in Goma DR Congo
View attachment 3496151
Serena Hotel Goma
Mazungumzo na maafikiano yaliyofikiwa yaleta furaha na pia matumaini mapya
View: https://m.youtube.com/watch?v=6kbOCGyLAZI👆
28 March 2025
Hoteli Serena Goma
Goma, DR Congo
Mpambe wa Magufuli katika ujumbe wa maafikiano Goma
Naye aliyekuwa mpambe wa rais Magufuli , Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy mwenye Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Eneo lake la utafiti lilikuwa ni “Assessing the Effectiveness of the United Nations Peacekeeping Operations: The case of Democratic Republic of Congo and Sudan. Aonekana katika timu iliyofanikisha muafaka wa kuwezesha majeshi ya SAMIDRC kuondoka DR Congo.
Meja Jenerali Dr. Mbaraka Naziad Mkeremy alifanikiwa kutetea andiko lake na kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) wa usuluhishi (peacekeeping) tarehe 14 Disemba 2023 .
Na sasa umahiri wake katika eneo hilo la kisomi ametumika vyema na timu ya wapatanishi wa SADC kufanikisha mkwamo kuondoka na kuwezesha mazingira ya majeshi ya SADC SAMIDRC kuondoka Congo DR salama..
View: https://m.youtube.com/watch?v=MgdGyWZg9Cs
The New Times
https://www.newtimes.co.rw
DR Congo crisis: M23 agrees to facilitate SADC troops withdraw
28 Mar 2025 — Tanzania's Maj Gen Ibrahim Michael Mhona and Alliance fleuve Congo military commander Maj Gen Sultani Makenga sign the..
..hao walikwenda kusalimu amri kwa m23.
..walikuwa wamezingirwa na wakaona salama yao ni kusalimu amri, badala ya kupigana na kujinasua.
..majeshi ya Zimbabwe yaliwahi kuzingirwa Congo lakini wao hawakusalimu amri.
..baada ya Majeshi ya Tz, Sa, Mlw, kusalimu amri walilazimishwa kuondoa vifaa vyao kwa barabara toka Goma, Rwanda, na kuishia Tanzania ambako vilipakiwa ktk ndege katika uwanja wa Chato.
Hizo habari za baraza la kijeshi wewe unazitoa wapi? Au ndo mwendelezo wa kujipa matumaini ya ndoto za matamanio?Uzoefu wa Maridhiano JWTZ walifanikisha waondoke kwa amani, wanautumia sasa kulamizisha serikali ya Tanzania ya CCM iipishe Baraza la Kijeshi JUNTA lirejeshe amani, haki na utawala bora kabla ya kurudisha madaraka kwa utawala wa kiraia
TAMKO LA BARAZA LA KIJESHI JUNTA
Alilolisoma CDF jenerali Jacob John Mkunda lililoandikwa kwa umakini na JUNTA,
View: https://m.youtube.com/shorts/ZjIhXHfp_Wk
Binafsi nimemsoma. Ni kama hana noma huyu jamaa! Ingekuwa noma kama angetuma jeshi kushambuliwa wananchi wasiandamane.Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba.
Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi.
Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi.
Dunia inajua, Watanzania tunajua, Samia na CCM hawana legitimacy yeyote kuendelea kuwaongoza Watanzania.
Kama vyovyote vile CDF Mkunda amekuwa compromised na Mafisadi najua mnajua cha kumfanya.
CDF wa Madagascar nae alikuwa compromised hivyo hivyo akajaribu kuwageuka Wananchi baada ya Rais Rajelina kumteua kuwa Waziri wa Ulinzi ila Wanajeshi wa Madagascar wakamuonesha Jeshi ni la Wananchi na wakampiga chini na kuchukua Nchi.
Muwekeni pembeni CDF Mkunda na ichukueni Nchi kama walivyofanya wenzenu wa Madagascar.
Bado mna imani na hili jeshi lenu?Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba.
Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi.
Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi.
Dunia inajua, Watanzania tunajua, Samia na CCM hawana legitimacy yeyote kuendelea kuwaongoza Watanzania.
Kama vyovyote vile CDF Mkunda amekuwa compromised na Mafisadi najua mnajua cha kumfanya.
CDF wa Madagascar nae alikuwa compromised hivyo hivyo akajaribu kuwageuka Wananchi baada ya Rais Rajelina kumteua kuwa Waziri wa Ulinzi ila Wanajeshi wa Madagascar wakamuonesha Jeshi ni la Wananchi na wakampiga chini na kuchukua Nchi.
Muwekeni pembeni CDF Mkunda na ichukueni Nchi kama walivyofanya wenzenu wa Madagascar.
Mkuu pambano lilisha isha, mbona bado una rusha ngumi?Bado mna imani na hili jeshi lenu?
Hakuna ngumi hapa nawaonesha njia tu kuwa wasipende kujiondoa akili kwa hashuo na mahaba kwenye mambo yanayotaka logic na facts.Mkuu pambano lilisha isha, mbona bado una rusha ngumi?